Kimya changu kina mshindo - Nape

Kimya changu kina mshindo - Nape

Status
Not open for further replies.
DSC00315.JPG
mpaka chini!!!!
 
Mkuu naona unajipiga ngwala mwenyewe,halaf unaomb msaada kwa mkulu akupe vjana
 
...loading..............................................
hata mie naona uko kimya ila vipi kwa hii nyongeza ya asilimia 6 kwa walimu watakubakiza kweli?mie nadhani kuna watu wanakiujumu chama kikongwe coz hii si bure,,,watakua waleee mafisadi ulowasema wanawamaliza,,,unajua sipati picha movie yenu na walimu itakuaje ths tyme...coz maticha nayo yamedinda ile mbaya au ndo mtatumia ileeee falsafa ya kumlazimisha ngo'mbe kunywa maji?
 
...loading..............................................

Kiongozi!

Huna lolote wewe. Tushakuzoea na uvuvuzela wako. Musiki wa Digital hatuta uweza. Mmezoea kutu danganya na matukio ya kuchonga kiasi kwamba tumesha mishtukia. Katika siasa ni muhimu kuzingatia kitu kinaitwa "POLITICAL LEGAL STRATEGIES". Ukishaona Chama chochote cha siasa kina kwenda kinyume na hapo, hizo ni moja wapo ya dalili za chama hicho kufa kama sio kukosa mvuto kwa wananchi.

Siasa za kutumia POLICCM au kufungulia watu Mashitaka tumezichoka kabisa. Na siasa hizi ndio zinakiondelea heshima CCM na hata viongozi wake. Mnaacha watu wenye busara kama kina Mangula wanaogopa hata kujitokeza majukwaani. Chama kime bebwa na watu wenye kashfa zinazo gusa maslahi ya taifa hili (not personal social scandals).

Kaa chini na uone ni jinsi gani "KUKOSA DIRA KWENU (CCM) KULIPO IFIKISHA TANGANYIKA".

Ni ushauri tu. Si lazima ukubaliane nami.
 
Mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.....mnatunga wenyewe na kujiaminisha wenyewe..ama kweli kushindwa kubaya sana

Nape nenda kaifufue CCJyako mwambie na mwenzio 6, lakuvunda halina ubani, ccm ni ya mafisadi uliowashinda kuwatoa ndani ya siku 90.
 
...loading..............................................

Wakuu, mimi natumia simu. Naomba muangalie kama hii ID iliyoanzisha hii mada ni ya Nape kweli yaani ile verified. Kama ni yeye kweli basi CCM hawana katibu mwenezi
 
hahahaha...ama kweli duniani kuna vihoja

mwenyekiti wako alisema ana orodha ya wauza dawa za kulevya aliamua kuingia nao ubia mbona hii biashara ndio inashamiri na wahusika hawakamatwi??
 
Jamani ni nape kweli huyu huyu ninaemfaham? Mbona kama kalewa?
 
MOD tunaomba mpeleke hii topic Chit Chat na sio kuiacha humu kwenye jukwaa la kisiasa.
Ukimya wa Nape unatuhusu nini sisi watanzania?
 
chadema macho yote huku hamkawii kuanza matusi ,hoja kwenu huwa hamna kabisa.
 
Mtoto akicheza michezo yake huwa tuna msifu kuwa anaakili sana, lakini mtu mzima akicheza michezo yakitoto huwa tunamuita ni mwendawazimu!
Mkuu sio nape huyu hata siamini kua kweli kafika hali hii? Karogwa huyu sio bure!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom