Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,282
- 8,010
Pslmp sawa ni mawazo yangu ndiyo maana siyo ya kwako. Na nyie ndiyo wanufaika wa mfumo wa Chato.Ni mtazamo wako mkuu, yaheshimiwe mawazo yako, Ila Kwa mtazamo wa wengine, haya mawazo yako ni ya kipimbi, kijinga na kipumbavu mno
Kwa sababu pia katikati ya dhambi kuna walionufaika na u dhambi huo, na kama tunataka tusiendeleze haya ni Bora kunyamaza
Sisi tunasimamia ukweli tu kwamba katika historia ya Tanzania mwaka 2015-21 tulipata ajali ya kisiasa kwa kupata Rais kichaa.