Kimetokelezea sana leo

Kimetokelezea sana leo

Kwa ushamba wangu kwanza nilifikiria mguu wa kuku halisi labda hakupata nafasi ya kula vizuri ameubeba. Ndiyo mana nikacheka.

Ila sasa nimeelewa.
Aisee kweli ulikuwa mbali.
 
Hapo zipo mbili, itakuwa aliset sivyo au ile mikanda ime mpwaya
 
Sijui ni nini hicho alichobeba huyo 'mheshimiwa' kushoto kwa Mh Rais, mwenye tai ya mistari. Naona kama kitabu hivi kimetuna ila sina uhakika 😵.

View attachment 412704
.....utafungwaaaa mkuuuu aseeee.........watanzania kama hao huwa hawajadiliwi kweny hizi social networks........................
 
Sijui ni nini hicho alichobeba huyo 'mheshimiwa' kushoto kwa Mh Rais, mwenye tai ya mistari. Naona kama kitabu hivi kimetuna ila sina uhakika 😵.

View attachment 412704
.....utafungwaaaa mkuuuu aseeee.........watanzania kama hao huwa hawajadiliwi kweny hizi social networks..............................inshot inavyoonesha iyo kitu ni chuma
 
Back
Top Bottom