Kimetokelezea sana leo

Kimetokelezea sana leo

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,755
Reaction score
7,270
Sijui ni nini hicho alichobeba huyo 'mheshimiwa' kushoto kwa Mh Rais, mwenye tai ya mistari. Naona kama kitabu hivi kimetuna ila sina uhakika 😵.

6.(2).jpg
 
Sio kila kitu cha kuposti, itakugharimu ndugu yangu!
Kipi cha ajabu Mkuu, walinzi huwa na silaha. Sio mifukoni tu, kwenye gari zao pia huwa kuna mzigo wa kutosha tu Mkuu yote umuhimu wa mtu wanayemlinda sasa hiyo nayo ni siri. Easy bro, ingekuwa na shida usingeikuta hii thread dafity
 
Back
Top Bottom