Kimenuka.

Kimenuka.

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,976
Reaction score
13,435
Je,haya ni mapenzi ya ukweli au ni uonevu?
1010550_398734800243419_1982908248_n.jpg

Nalog off
 
Uonevu....yaani hata ningekuependeje masihara yote tufanye ila mambo ya kupigwa hapana...ukishanipiga hunioni tena....
sasa kama ndio mumeo utakimbilia wapi? si atakufuata huko huko kwenu.
Nalog off
 
Loh wengine umekosea kidogo tu kipigo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mbona sisi wanaume ni maromantic sana hatuchelewi kuwaimbia zile nyimbo nzuri nzuri.

Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Loh wengine umekosea kidogo tu kipigo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ha ha lol unataka ukikosea kikubwa ndo upigwe.yaani mrembo kama wewe upigwe kwa kweli kumpiga mkeo ni uonevu.wengine wana waharibu wenzi wao sura.
 
Mwanamke anaumwa malaria imempanda kichwani ana dondoka dondoka hovyo
kakaake ndo anaenda kumsaidia.
kingekuwa kipigo papuchi na vinginevyo tungevishuhudia laivu.
 
ha ha lol unataka ukikosea kikubwa ndo upigwe.yaani mrembo kama wewe upigwe kwa kweli kumpiga mkeo ni uonevu.wengine wana waharibu wenzi wao sura.

Hahahahhaah yaani mtu akinitamkia ntakupiga tu ananikosesha amani....
Nlipokua nshamkosea mama akisema atanipiga basi wewe namuomba samahani wee siku hiyo ntamfanyia kazi zote lol..basi ananichekaaa then hunambia njoo nkupige japo kofi moja lol...
 
Back
Top Bottom