HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,361 94,539 Oct 17, 2012 #21 Jamani hawa watu waishi wenyewe trust me wengi wataumia aiseee tuvunje huu muungano Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Jamani hawa watu waishi wenyewe trust me wengi wataumia aiseee tuvunje huu muungano Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Thanda JF-Expert Member Apr 6, 2012 1,915 596 Oct 17, 2012 #22 Sidhani kama wanahitajika bara...halafu kutokana na mabadiliko ya kijiografia Zanzibar itafutika baada ya miaka michache ijayo.
Sidhani kama wanahitajika bara...halafu kutokana na mabadiliko ya kijiografia Zanzibar itafutika baada ya miaka michache ijayo.
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,361 94,539 Oct 17, 2012 #23 Hawa watu tuachane nao waishi wenyewe laa sivyo ioo siku kitanuka kweli kweli Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Hawa watu tuachane nao waishi wenyewe laa sivyo ioo siku kitanuka kweli kweli Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Thanda JF-Expert Member Apr 6, 2012 1,915 596 Oct 17, 2012 #24 Vita ya Rwanda ilianza kiutani utani....mwisho wake mauaji ya kimbari.
watambi JF-Expert Member Dec 7, 2011 327 254 Oct 17, 2012 #25 Sijawai kusikia vitu vizito huko zanzibar kama awana wakaazime kule iringa