Kimenuka Zanzibar!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimenuka Zanzibar!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaKiiza, Oct 17, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Uamsho6.jpg Uhamusho.jpg Kisonge ya chomwa moto
  Uhamusho2.jpg Kiongoz wa jumuiya.jpg Atoweka toka jana usiku bila kujulikana.yasemekana jeshi la polisi la husika kwani ndio kawaida yao kuwadhalilisha waislamu.
  Hivi sasa waumini wote wanakuja hapa mbuyuni.
  Maduka na Biashara za simama waislamu wanatka kuelekea makao makuu ya polisi ziwani.
  Uhamusho3.jpg Maskani ya ccm ya kisonge yachomwa moto.
  Mpaka sasa Amir Farid hawajamtoa.
   

  Attached Files:

 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  watanzania tujiandae kuwa wakimbizi,kidogo kidogo hujaza kibaba
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Polisi wanadhibitje hizo vurugu? yaani kila kona fujo za waislamu kulikoni?
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  You mean IDPs?
   
 5. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Vipi hawajafanikiwa kuchoma makanisa huko, maana makanisa ndo zao hao jamaa
   
 6. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyo mbaba ndo nia yake na inasemekana wala hajatekwa alijiondokea mwenyewe...achen tu wafanye wafanyalo si ndo faraja kwao ila hii kitu itawatafuna milele daima..wananisikitisha na kunipa hasira sana tuu...let's close our fingers n pray for them ni mapepo tu yanawasumbua
   
 7. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ujinga ni mzigo,na woga ni ujinga
   
 8. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  This is more than UAMSHO issue. Read between the lines. By burning Kisonge and proposing to march to mazizini police station Zanzibari are sending clear and loud message no more business as usual. March to Mazizini is highly significant because it may be symbolically associated with beggining 64 revolution. associatiw
   
 9. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Haya ni mavuno ya kupanda mbegu ya udini kwa serikali yetu.serikali dhaifu.

  Mungu peke atuepushe na hizi roho za kishetani zinazowaza kutenda mambaya usiku na mchana zisiendelee
  katika mioyo ya waislam
   
 10. A

  Anold JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Kama ilishindikana kuzuia ukristo wakati wa enzi za pilato wataweza leoooo?
   
 11. m

  mamajack JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ujinga ni kuoambana na unayemdahni kuwa ni adui yako,wakati adui yako unamjua.
   
 12. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  mtoto umleavyo .....................
   
 13. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wazanzibar wakae huko huko ZNZ wasije huku bara si hawataki muungano.
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  halafu wakimbizi wavita ya kidini ambayo walishayafanya haya mambo kitambo sana huko maulaya..
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,350
  Likes Received: 2,687
  Trophy Points: 280
  Wataanza kwa kusema sisi ni WAZANZIBAR na wao ni WATANGANYIKA,haitaishia hapo tu wataendelea kwa kusema sisi ni WAZANZIBAR na wao ni WAZANZIBARA.
   
 16. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  He! Wameanza kuigeuka hadi ccm yao
   
 17. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu kama hutojari rudisha ile AVATAR yako!
   
 18. EXTERMINATOR

  EXTERMINATOR JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hee! Hivi walishamaliza makanisampaka kuhamia maskani za kijani?
   
 19. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ahsante kwa ushauri! nitaufanyia kazi!
   
 20. dunia ndivyo ilivyo

  dunia ndivyo ilivyo Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  inawezekana kabisa kwa idhini ya allah,
   
Loading...