Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
UPDATES 1:
Nimezungumza na kamanda Heche muda mfupi uliopita, amenifahamisha kwamba amepigiwa simu na kaimu kamanda wa polisi kanda maalum ya Tarime Rorya ili afike kituoni kwa mahojiano.
Sasahivi ndio anaelekea kituo cha polisi Tarime mjini kwa ajili ya mahojiano hayo.
Taarifa za ndani kabisa toka polisi Tarime ni kwamba kuna shinikizo/maelekezo toka juu kwamba Heche akamatwe ama akijisalimisha azuiliwe mahabusu ya polisi hadi kesho atakapopandishwa kizimbani.
Nadhani wale mliopo Tarime mnaweza kufuatilia kwa karibu na kutujuza kinachojiri huko.
Hali ya kisiasa wilayani Tarime inazidi kuwa tete baada ya jana mwenyekiti wa Chadema wilayani humo kuandika barua polisi kusitisha mikutano ya mwenyekiti wa BAVICHA John Heche. Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba kamanda John Heche anasakwa na jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime Rorya kwa tuhuma za kumkashifu raisi Kikwete.
Katika mkutano wake wa juzi alioufanya katika mji mdogo wa Sirari, Heche aliwaeleza wananchi kuwa Tanzania imekuwa ni nchi ombaomba wakati ina rasilimali nyingi sana za kuiwezesha kujitegemea. Akawaeleza wananchi hao kuwa raisi Kikwete ndiye anaongoza zoezi hilo la kuwa ombaomba, kwa kwenda ulaya na marekani kila mara kutembeza bakuli.
Heche alielezea masikitiko yake kwa raisi Kikwete kupishana angani na ndege zilizojaza madini yetu kupeleka ulaya na marekani huku yeye akiwa amefungashiwa vyandarua na hao wazungu wanaopora rasilimali zetu. Bado nafuatilia kujua hatma ya sakata hili na nitaendelea kuwa update kadri inavyowezekana.
Kwani lipi la Uongo hapo?
Nchi ambayo kila siku inaomba misaada tu wanataka iitweje?
Nchi ambayo ndege inatua na kubeba Twiga na Tembo wanataka iitweje?
Nchi ambayo Ndege inatua na kubeba madini bila kuhakikiwa Wanataka iitweje?
Rais anayeenda kuomba omba Misaada kila kukicha mnataka aitweje?
Kwa maslahi yapi uliyoyaona kwa awamu hii ya kikwete...unajua deni la taifa kwa sasa ni kiasi gani? unakumbuka wakati anaachiwa nchi hazina kulikuwa na kiasi gani? je deni likuwa kiasi gani?...vipi bei ya vyakula nikupe mfano kikwete anachukua nchi bei ya mchele ilikuwa TZS 650 sasa hivi mpaka TZS 3000, kiberiti 25 sasa hivi 100...ngoja nikomee hapoAfadhali JK anaomba kwa maslahi ya Taifa , zile pesa wanazochangisha CDM wakiwa wavekwiva kwenye suti kwenye mahoteli makubwa hapa nchini kusafisha fedha haramu wanazoletewa na wazungu hao hao zinafanya nini?
Hali ya kisiasa wilayani Tarime inazidi kuwa tete baada ya jana mwenyekiti wa Chadema wilayani humo kuandika barua polisi kusitisha mikutano ya mwenyekiti wa BAVICHA John Heche. Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba kamanda John Heche anasakwa na jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime Rorya kwa tuhuma za kumkashifu raisi Kikwete.
Katika mkutano wake wa juzi alioufanya katika mji mdogo wa Sirari, Heche aliwaeleza wananchi kuwa Tanzania imekuwa ni nchi ombaomba wakati ina rasilimali nyingi sana za kuiwezesha kujitegemea. Akawaeleza wananchi hao kuwa raisi Kikwete ndiye anaongoza zoezi hilo la kuwa ombaomba, kwa kwenda ulaya na marekani kila mara kutembeza bakuli.
Heche alielezea masikitiko yake kwa raisi Kikwete kupishana angani na ndege zilizojaza madini yetu kupeleka ulaya na marekani huku yeye akiwa amefungashiwa vyandarua na hao wazungu wanaopora rasilimali zetu. Bado nafuatilia kujua hatma ya sakata hili na nitaendelea kuwa update kadri inavyowezekana.
Hali ya kisiasa wilayani Tarime inazidi kuwa tete baada ya jana mwenyekiti wa Chadema wilayani humo kuandika barua polisi kusitisha mikutano ya mwenyekiti wa BAVICHA John Heche. Taarifa za uhakika nilizonazo ni kwamba kamanda John Heche anasakwa na jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime Rorya kwa tuhuma za kumkashifu raisi Kikwete.
Katika mkutano wake wa juzi alioufanya katika mji mdogo wa Sirari, Heche aliwaeleza wananchi kuwa Tanzania imekuwa ni nchi ombaomba wakati ina rasilimali nyingi sana za kuiwezesha kujitegemea. Akawaeleza wananchi hao kuwa raisi Kikwete ndiye anaongoza zoezi hilo la kuwa ombaomba, kwa kwenda ulaya na marekani kila mara kutembeza bakuli.
Heche alielezea masikitiko yake kwa raisi Kikwete kupishana angani na ndege zilizojaza madini yetu kupeleka ulaya na marekani huku yeye akiwa amefungashiwa vyandarua na hao wazungu wanaopora rasilimali zetu. Bado nafuatilia kujua hatma ya sakata hili na nitaendelea kuwa update kadri inavyowezekana.
Crashwise acha kupoteza mda wako kumuelimisha thatha kama una mda wa kuchezea si umfundishe paka wako kusoma na kuandika?Kwa maslahi yapi uliyoyaona kwa awamu hii ya kikwete...unajua deni la taifa kwa sasa ni kiasi gani? unakumbuka wakati anaachiwa nchi hazina kulikuwa na kiasi gani? je deni likuwa kiasi gani?...vipi bei ya vyakula nikupe mfano kikwete anachukua nchi bei ya mchele ilikuwa TZS 650 sasa hivi mpaka TZS 3000, kiberiti 25 sasa hivi 100...ngoja nikomee hapo