Mkuu si uendelee na propaganda zako zile nyepesi nyepesi ambazo hata mtoto mdogo anashtuka.Usilete utani, hali ni mbaya Liwale bahati mbaya hakuna mawasiliano ya uhakika wala mwandishi wa habari Liwale habari hizi ni 100% Ama unataka uamini hadi uambiwe na RADIO UHURU??