Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,076
2,000
huwa sibishani na nyie watumwa, hahahaaaa siongei na Wu wu wuww uwww naongea na mwenye wuwuwuwuwwwwuuuuuu by the way sijataja mtu niache nilale kwa amani tafadhali Mpwa zumbemkuu teeso kuna iji puishi aha jekunda kunim'bania kio changu
hahahahahaha!
kwei ijo ni puulishi ja mghoshi, hahahahahaha
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,031
2,000
[h=1]Tanzania riots over cashew nut payments[/h]
Cashew nuts are one of Tanzania's main cash crops
Continue reading the main story [h=2]Related Stories[/h]

About 20 houses have been burnt down in riots by cashew nut farmers and other protesters in southern Tanzania, the local MP has told the BBC.

Faith Mitambo said two buildings at her home in Liwale town had been set alight and that other houses targeted belonged to members of the ruling CCM party.
The trouble began after payouts being made to farmers for their crop were less than the price agreed last year.
More police have been deployed to the region to stop further unrest.
Ms Mitambo, who was in the capital, Dodoma, at the time, told the BBC Swahili service she was travelling down to her constituency to assess the situation.
She had been told the protests, involving groups of young men, began in villages on Tuesday morning and reached Liwale town by the evening.
A resident of Liwale told the BBC that on Wednesday there was a sense of fear in the town and police had fired tear gas in the market to stop crowds gathering.

He said a police helicopter was flying over the town, which is about 500km (310 miles) south of the main city of Dar es Salaam.
Thousands of small-scale cashew nut farmers in Tanzania - who usually begin to harvest in October - sell their crops to co-operative societies at an agreed price.
The BBC's Erick Nampesya in Dar es Salaam says this was set at 1,200 Tanzanian shillings ($0.74; £.048) per kg.
Towards the end of last year, the farmers received the first instalment of the money they were owed.
But when representatives from the co-operative societies went to the Liwale district on Tuesday to pay out the second and final instalment, the terms had changed.
The farmers were offered half or less than half of the outstanding money as they were told that the prices had fallen on world markets.
Ruling politicians, who the farmers blame for not helping them, became the target of their anger, our reporter says.
Farmers have long complained about the instability of the prices paid for their cashew nut crops - as it fluctuates from season to season, he says.
Police spokesperson Advera Senso told the BBC a special team had been sent to Liwale from Dar es Salaam to investigate and assist with making arrests.
 
CHINGA MAUWE

Member
Dec 11, 2012
89
70
WAKULIMA WA KOROSHO WAMEONESHA UVUMILIVU KWA MUDA MREFU SANA KIASI CHA KUSHINDWA KUENDELEA KUVUMILIA,TUWE NA HURUMA JAMANI KOROSHO ZIMEUZWA MWAKA JANA MWEZI WA KUMI LEO HII NI KARIBIA MIEZI SITA BILA MAFANIKIO WAKATI HUO WALIKUWA WANAKUMBUSHA LAKINI MUITIKIO WA SERIKALI HAUKUA WA KURIDHISHA,,,AJABU ZAIDI NI PALE KULIPOKUA NA MALIPO YANAYOTOFAUTIANA,RUANGWA(LINDI) INA VYAMA VYA MSINGI VINGI LAKINI VYAMA VINGINE WANATARAJIA KUPOKEA sh320PER Kg,wengine sh200 na sehemu zingine sh450 badala ya sh 600 kama ilivyopangwa katika hali kama hizi wakulima wafanye nini???KUHARI MALI ZA VIONGOZI NI ISHARA YA KWAMBA HAWATENDEWI HAKI JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII??????LEO HII NI MTUMISHI GANI WA SERIKALI ATAKUBALI KUKAA KWA MUDA HATA WA MIEZI MIWILI BILA KUPEWA MSHAHARA NA KUKAA KIMYAAAAAAAAAAAAAAAAA??????INAUMIZA SANA COZ TUNATEGEMEA KOROSHO ILI TULIPE ADA.........................
 
Fofader

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
854
500
Cashew nuts! Very interesting story! Needs very little investment in its processing industry. Processed cashew nuts would fetch a good price if exported and eventually benefit the farmers. Someone either negligently or purposely does not like these industries to work in Tanzania. Someone who may have influence up to policy making level. Why would Tanzania in this century still be exporting raw cashew nuts to Asian countries, which are known as large exporters of the crop? Beats me!
 
Lwesye

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
5,296
0
It used to be news from other countries,people ignored the fact that one day the tables will turn ooh lord why this is happening to us we have a deaf government indeed the impotent
 
Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,649
2,000
Usilete utani, hali ni mbaya Liwale bahati mbaya hakuna mawasiliano ya uhakika wala mwandishi wa habari Liwale habari hizi ni 100% Ama unataka uamini hadi uambiwe na RADIO UHURU??
Mkuu si uendelee na propaganda zako zile nyepesi nyepesi ambazo hata mtoto mdogo anashtuka.
 
punguzo

Member
Jul 9, 2011
51
0
http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-22282599

About 20 houses have been burnt down in riots by cashew nut farmers and other protesters in southern Tanzania, the local MP has told the BBC.

Riots over cashew nuts in Tanzania
Last updated 4 hours ago

Cashew nuts are one of Tanzania's main cash crops
About 20 houses have been burnt down in riots by cashew nut farmers and other protesters in southern Tanzania, the local MP has told the BBC.

Faith Mitambo said two buildings at her home in Liwale town had been set alight and that other houses targeted belonged to members of the ruling CCM party.

The trouble began after payouts being made to farmers for their crop were less than the price agreed last year.

More police have been deployed to the region to stop further unrest.

Ms Mitambo, who was in the capital, Dodoma, at the time, told the BBC Swahili service she was travelling down to her constituency to assess the situation.

She had been told the protests, involving groups of young men, began in villages on Tuesday morning and reached Liwale town by the evening.

A resident of Liwale told the BBC that on Wednesday there was a sense of fear in the town and police had fired tear gas in the market to stop crowds gathering.

He said a police helicopter was flying over the town, which is about 500km (310 miles) south of the main city of Dar es Salaam.

Thousands of small-scale cashew nut farmers in Tanzania - who usually begin to harvest in October - sell their crops to co-operative societies at an agreed price.

The BBC's Erick Nampesya in Dar es Salaam says this was set at 1,200 Tanzanian shillings ($0.74; £.048) per kg.

Towards the end of last year, the farmers received the first instalment of the money they were owed.

But when representatives from the co-operative societies went to the Liwale district on Tuesday to pay out the second and final instalment, the terms had changed.

The farmers were offered half or less than half of the outstanding money as they were told that the prices had fallen on world markets.

Ruling politicians, who the farmers blame for not helping them, became the target of their anger, our reporter says.

Farmers have long complained about the instability of the prices paid for their cashew nut crops - as it fluctuates from season to season, he says.

Police spokesperson Advera Senso told the BBC a special team had been sent to Liwale from Dar es Salaam to investigate and assist with making arrests.

BBC © 2013
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225

Na Waandishi Wetu, Mwananchi

Posted Jumatano,Aprili24 2013 saa 20:50 PM

KWA UFUPI
Kago, ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili, anadaiwa kuwa alifariki juzi saa nne usiku baada ya kuchomwa kisu na watu wasiojulikana, akiwa njiani eneo la Kanisa la Wasabato akitokea chuoni hapo kujisomea.Liwale/Arusha. Uharibifu mkubwa wa mali ulifanywa juzi usiku Mjini Liwale, Lindi baada ya wananchi wenye hasira kuchoma moto nyumba za viongozi waandamizi, makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya na maghala ya mazao kutokana na kuchukizwa kushushwa kwa bei ya korosho.

Nyumba zilizochomwa moto ni za Mbunge wa Liwale (CCM), Faith Mtambo, Mwenyekiti wa Chama cha Msingi cha Umoja, Hassan Myao na Makamu wake, Hassan Mpako, Diwani wa Viti Maalumu (CCM) Liwale, Amina Mnocha, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Abbas Chigogola ambaye pia ng'ombe wake tisa walikatwakatwa mapanga na kuachiwa ndama watatu.Nyingine ni nyumba ya Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Liwale, Mohamed Ng'omambo, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Lindi, Mwenyekiti wa Chama cha Msingi Minali, Mohamed Limbwilindi na Katibu wa chama hicho, Juma Majivuno.
Wakati hayo yakitokea Lindi, huko Arusha, vurugu kubwa za wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu zilizuka jana baada ya kuuawa kwa mwanafunzi Henry Kago (22), juzi usiku.Kago, ambaye alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili, anadaiwa kuwa alifariki juzi saa nne usiku baada ya kuchomwa kisu na watu wasiojulikana, akiwa njiani eneo la Kanisa la Wasabato akitokea chuoni hapo kujisomea.

Ghasia za Liwale
Ghasia hizo zilianza juzi mchana katika Kijiji cha Liwale B na ziliendelea usiku kucha hadi jana asubuhi.Watu walioshuhudia ghasia hizo walisema chanzo ni wakulima kudai kulipwa Sh600 na siyo Sh200 za mauzo ya korosho kwenye Chama cha Msingi Minali.Bei ya kilo moja ya korosho waliyokubaliana wakulima na chama hicho ni Sh1,200 na mara ya kwanza kiliwalipa Sh600 kwa kilo na kuahidi kulipa nusu nyingine baadaye.Hata hivyo, viongozi wa Ushirika walibadili uamuzi na kulipa Sh200 kwa maelezo kuwa mauzo hayakuwa mazuri kitendo ambacho kiliwakasirisha wakulima hao ambao waligoma kupokea fedha hizo.Baadaye ilielezwa kuwa viongozi wa Minali walipeleka fedha hizo polisi ili malipo yafanyike huko, lakini ghasia zikaibuka na wakaamua kusitisha malipo hayo na ndipo wananchi wakaamua kuingia mitaani.Mmoja wa mashuhuda alisema "Polisi walijaribu kuwadhibiti watu hao, lakini walipoona wanazidiwa nguvu, wakawaachia wafanye wanavyotaka ndiyo maana kumekuwa na uharibifu mkubwa."Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, George Mwakajinga alisema kwa kifupi: "Hali imetulia na vurugu zimemalizika lakini bado tuko kwenye kikao kuzungumzia suala hili."Wakulima hao walikerwa na tamko la Limbwilindi ambaye ndiye aliyetamka kwamba watalipwa Sh200 kwa kilo na kuamua kwenda kuchoma moto nyumba yake na baadaye ya Katibu wake Majivuno.Limbwilindi hakupatikana kuzungumzia tukio hilo lakini, Majivuno alipohojiwa alisema: "Tulikubaliana kuwalipa Sh1,200 kwa kila kilo, lakini kwa awamu...

tuliwapa Sh600 awali na nusu yake imeshindikana kwa kuwa mauzo hayakuwa mazuri. Biashara haikwenda vizuri, ndiyo maana tukawaambia tutawalipa Sh200 lakini wakakataa wanataka fedha zote Sh600, sasa sisi hatuna fedha hizo. Kama biashara ingefanyika kwa faida tungewalipa."

Habari zilizopatikana baadaye jana zilidai kuwa mke wa Mkungura, Amina Mmoto amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Liwale baada ya kupata shinikizo la damu kutokana na sakata hilo.Akizungumza kwa simu kuelekea Liwale, Mbunge Mtambo alisema: "Nimesikitishwa na ghasia hizi... wamenitia hasara kubwa. Nyumba zangu zote mbili zimechomwa, sijui nitaishi wapi. Hakuna kingine hizi ni siasa tu...hakukuwa na sababu ya kufanya hivyo. Kama ni kulipwa Sh200, mbona vyama vingine wamelipwa fedha hizo na hakukuwa na vurugu?Jana kutwa nzima, Mji wa Liwale ulikuwa na utulivu huku polisi wakitawanya makundi ya watu waliokuwa katika vikundi kwa mabomu ya machozi na shughuli za biashara zilisimama na hakuna maduka wala magenge yaliyofunguliwa.

Vurugu Arusha
Kutokana na vurugu hizo, Chuo cha Uhasibu cha Arusha, kimefungwa kwa muda usiojulikana kwa usalama huku wanafunzi wakitakiwa kuondoka chuoni hapo hadi watakapotangaziwa tena.Licha ya kuelezwa kwamba aliuawa kwa kisu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo alisema taarifa nyingine, zinaeleza kuwa aliuawa akitokea katika Ukumbi wa Disko wa Bugaloo jirani na chuo hicho.Baada ya taarifa za kifo hicho, wanafunzi wa chuo hicho walikusanyika jana asubuhi na kuanza maandamano hadi Kituo Kikuu cha Polisi wakilalamikia ulinzi duni.
Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema alifika na kuwatuliza wanafunzi hao na kuzungumza nao, kwa zaidi ya saa tatu wakati wakimsubiri Mkuu wa Mkoa.Hata hivyo, baada ya kufika chuoni hapo, mkuu huyo wa mkoa alishindwa kuzungumza kutokana na kutokuwa na kipaza sauti na kusababisha wanachuo kumzomea kabla ya uongozi wa chuo kubadili eneo la mkutano. Hata hivyo, zomeazomea iliendelea na mkutano kuvunjika na FFU kufika na kurusha mabomu ya machozi.Akizungumza na waandishi wa habari jana mara baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama na uongozi wa chuo hicho, mkuu huyo wa mkoa alisema polisi wanafanya uchunguzi wa suala hilo."Baada ya kuletewa taarifa za tukio hili na Mbunge Lema, niliondoka na kwenda kuwasikiliza wanachuo lakini tayari nilijua mazingira yalikuwa yamebadilishwa na pale nikagundua Lema ndiyo amekuwa msemaji mkuu badala ya uongozi wa chuo au Serikali ya wanachuo. Ndiyo maana mkaona na zomeazomea ile," alisema Mulongo.

Alimtuhumu mbunge huyo uchochezi na ameamuru kukamatwa kwake na wanafunzi waliohusika na vurugu zile.Lema alieleza kusikitishwa na agizo la kutakiwa kukamatwa akisema alizuia maandamano kufika mjini... "Nyie waandishi wa habari mlikuwepo nimezungumza zaidi ya saa mbili na wale wanafunzi kuwasihi watulie wasiandamane na mimi ndiye nilimpigia simu Mkuu wa Mkoa aje kuwasikiliza wanafunzi iweje niwachochee kufanya fujo? Ninawasubiri waje wanikamate." 

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,512
2,000
This is serious. Serikali isilione kwa mzaha tukio hili. The people are tired of deceptions.
 
WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,901
2,000
Huu ndiyo muda wa kuonyeshana kuwa kiongozi siyo kukubali jina tu, lakini kuwajibika kwa waliokuchagua. Haikubaliki mbuge akae zaidi ya miaka 10 bila kuwa na plan ya kuwekeza katika processing industries kwenye jimbo lenye zao kama korosho. Taratibu watu wanaanza kuelewa nani ni kiongozi na nani ni vibaka na wanyonyaji.
 
cjilo

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
884
250
duh kweli serikali imepanick, "nmeamuru akamatwe kukamatwa kwake na wanafunzi waliofanya vurugu", aliyezuia maandamano ndo amechochea fujo, je lema angewaacha wakafanyie hiyo fujo mjini, ndo shida ya akili ndogo kutawala akili kubwa
 
jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,884
2,000
Watu wamechoka namaisha magumu,viongozi watambue watanzania wa hari ya chini wamechoka...watu wamechoka si wale wa miaka ile ya kila kitu ndiyo mzee..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom