LIWALE KWETU
Member
- Feb 1, 2013
- 6
- 0
KIMENUKA KWELI KUANZIA JANA saa 12 JIONI MPAKA SAA 11 ASUBUHI MPAKA MUDA HUU HAKUNA DUKA LOLOTE LINALOTOA HUDUMA
baadhi ya picha zipo
baadhi ya picha zipo
CHADEMA wanazidi kuharibu nchi...
KIMENUKA KWELI KUANZIA JANA saa 12 JIONI MPAKA SAA 11 ASUBUHI MPAKA MUDA HUU HAKUNA DUKA LOLOTE LINALOTOA HUDUMA
baadhi ya picha zipo
Matukio haya yanatoa fursa kwa chama kujitathmini kuhusiana na utekelezaji wa KILIMO KWANZA; imeonekana kuna watendaji wa serikali na vyama vya ushirika walio ndumila kuwili;ni mawakala wa vyama vya upinzani CHADEMA (waliopo serikalini) na CUF (waliopo katika vyama vya ushirika
Matukio haya yanatoa fursa kwa chama kujitathmini kuhusiana na utekelezaji wa KILIMO KWANZA; imeonekana kuna watendaji wa serikali na vyama vya ushirika walio ndumila kuwili;ni mawakala wa vyama vya upinzani CHADEMA (waliopo serikalini) na CUF (waliopo katika vyama vya ushirika
Mkuu tuwekee na picha
viongozi wa fujo za cuf a.k.a uamsho wako lupango kwa hiyo sio cuf. Hawa ni chadema ambao hawataki nchi itawalike.
kitendo cha chadema kuhamasisha wahuni kuchoma ofisi za serikali kinadhihrisha kuwa chadema haina mpango wa kuongoza nchi. Huwezi kutaka ofisi za serikali zichomwe kama una mpango wa kuongoza serikali hiyo...
Kishindo cha mikutano ya Wabunge sita wa CHADEMA waliosimamishwa na Naibu Spika,Job Ndugai, kwa uamuzi uliungwa mkono na Spika Anne Semamba Makinda,kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti kwa siku tano,kimeitikisa CCM. Inasemwa kwamba Kiti cha Spika kimewapa CHADEMA nafasi ya kufanya mikutano ya hadhara wasiyostahili na hivyo kuibana na kujibu mapigo ya mikutano ya Sekretarieti ya CCM inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM,Kanali Mstaafu Abduralhman Kinana.
Inadaiwa kuwa Kiti cha Spika ni kama kilipanga kuendeleza mapambano ya kisiasa nje ya Bunge kwa kuwasimamisha Wabunge sita wa CHADEMA ambao wote ni wasemaji mahiri. Kimsingi,Kiti cha Spika sasa kinalaumiwa na CCM kwa kuwasimamisha Wabunge: Tundu Lissu,Joseph Mbilinyi,Mchungaji Peter Msigwa,Ezekiel Wenje,Highess Kiwia na Godbless Lema ambo sasa wanachanja mbuga mikoani kuwashtaki CCM na Serikali yao kwa wananchi.Tayari Wabunge hao,wakiongezewa nguvu na Mwenyekiti wao Freeman Aikaeli Mbowe na Katibu Mkuu Dr.Wilbrod Peter Slaa pamoja na viongozi wengine wa litaifa wa CHADEMA wameshafanya mikutano ya hadhara Mwanza,Dodoma na Iringa.
' Unamsimamisha Lissu,Lema na wenzao tena kwa siku tano unategemea nini?' aling'aka Waziri mmoja kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu. 'Muda huu wa Bunge la Bajeti ulikuwa muafaka kwetu(CCM) kufanya mikutano ya hadhara bila mawaa. Ndivyo ilivyopangwa na kukubaliwa na chama. Ndivyo afanyavyo Katibu Mkuu Kinana na Nape Nnauye. Sasa Kiti cha Spika kimeturudisha nyuma na kutuharibia mipango yetu' aliongeza.
Waziri mwingine ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa amekwenda mbali zaidi na kusema kuwa Kiti cha Spika kitashtakiwa kwenye vikao vya chama kwa kutoa nafasi kwa CHADEMA kujibu makombora ya CCM muda huu. ' Lazima tuwashtaki katika vikao. Laiti Wabunge hawa wangetingwa na vikao vya Bunge,wasingeweza kufanya kama wafanyavyo sasa. Hapa kuna harufu ya mpango maalum wa kuibeba CHADEMA. Bora hata Kiti cha Spika kiwaite haraka Wabunge hawa Bungeni ili kuwapunguza kasi' alisema Waziri huyo aliyeungwa mkono na Mawaziri wengine pamoja na Wabunge.
Ilikuwa ni katika Kikao kisicho rasmi cha kichama kilichofanyika hapa Dodoma baada ya kuwepo na uzushi kuwa eti CHADEMA imewachochea wananchi wa Liwale na wananchi hao wanajiandaa kuandamana na kufanya fujo.
Kizungumkuti kweli kweli!
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam ( sasa Dodoma)
Kaka usiweke udini hapo,ni haki ya kila mtu kudai haki yake hapo na si waislamu ndio wakulima wakorosho pekee,Shukulani kwa walio waaamsha wakulima hao.HAKI haiombwi.Hayo ni matunda ya ziara ya Kamanda MTATIRO - CUF katika viunga hivyoo ! Safi sanaaa....
Haki haiombwii... Wanataka kuwadhulumu sababu wao ni " WAISLAMU " ole wao sasaaa...