Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

Russia anaitamani gesi yetu ili aifanyie nini? Kwa gas reserve au technology ya kusambaza gas tunamshinda Russia au?
Hata mi nawashangaa mrusi hana haja na gas ye anatumia umeme wa uranium
 
DKT Magufuri anajua english vizuri kwani aliwahi kunifundisha biology, ila kingeleza cha biology na chemistry unaweza ambulia zero, akichanganganya kile cha madawa, wakina obama, putin, wanaweza changanyikiwa maana ni cha kiformula zaidi.
 
Mwandishi wajidanganya hawo watu ni kiboko magufuli hawawezi samuraia lao lazima liwe na wewe habar hyo umeipata wapi au ndo mawazo yako tu
Kweli anajidanganya Marekani akitaka chake ni Mungu tu awezae kumzuiya Iran itatengeneza kila kitu na mafuta anayo wamepigwa mkwara na Marekani wametulia itakuwa tz hata pipi kutoka china
 
Kujisifiasifia unajua sana lugha za kikoloni ni ukoloni wa kifikra. Itaichukua Tanzania vizazi si chini ya vitano kwa fikra hizi mgando kutoweka.Kwa sasa tubaki tu tunabishana nani zaidi kwa lugha za kikoloni.
 
JPM komaa hapa japa home usiwashobokee hao wanyonyaji/wauaji. ukiendelea na kasi yako hiyo miaka 3 tuu Tz tunajitegemea vizuri tuu. ma misaada yao wakae nayo huko
 
Dunia ni kijiji huwezi kuendelea bila kujumuika na wanakijij wenzako kukacha mikutano ya kimataifa hakuna tija ,safari nyingi za jk zilikuwa za kustarehe kubembea kupiga picha na wasanii nk
 
Huku ndani tu hatumuelewi, sembuse wa nje!!

sikuwa namuunga mkono JPM katika uchaguzi lakini hadi sasa kunavitu vinanilazimisha kumpenda japo bado sijampenda
 
Hafungamani na upande wowote.Bora iwe hivyo tu ili wasimyumbishe.
 
Ni raisi gani wa Tanzania aliwahi kutumia wakalimani?Hujui adha ya aibu wewe tena kwa magazeti ya Tanzania na watu wake wanavyoongeaga.


Ukienda kwenye Mikutano ya kimataifa, unaweza kutumia lugha yoyote uitakayo, Translators will do the magic for you, viongozi wengine watafasiriwa na kuelewa. Hiyo ya viongozi ambao hawakuwahi kutumia Wakalimani ni past na huenda walikuwa na inferiority complex. Mkuu usitishike na watu wanavyoongea.
 
kuna wingu zito kati ya ushirika wa nato na mshenga wao marekani na ule mlengo wa kushoto wenye wakumunist wa zamani China na Russia.

Issue iko ivi.

mabepali wa ulaya na marekani hawamsomi JPM kabisa, kama unavyojua kila Rais mpya anapoingia hawa ndugu zetu hufanya juu chini ili kupata nafasi ya kumteka katika upande wao, ili maslahi yao na ya makampuni kutoka kwao yalindwe. Sasa kasheshe likaanzia hapa

Mabepari walimualika Mh JPM katika mkutano wa jumuiya ya madola in personal, kwanza ili ajitambulishe kwa wenzie lakini pia wapate nafasi ya kuteta nae kuhusu interest zao, na kumvutia kwao. Jamaa hakwenda akatuma wawakilishi.

Wakamualika tena kikao cha mazingira na hali ya hewa, ufaransa, ikiwa ni mara ya pili, ili kupata nafasi tena ya kutimiza ile adhma yao, jamaa tena kakomaa, hakwenda instead akatuma wawakilishi. Hii haikumfurahisha uingereza kabisa na za chinichini zinasema akamtonya mshenga wake marekani watunyime zile za MCC ili Mkuu wa kaya afunge safari kwenda kuwabembeleza na wapate nafasi ya kutoa masharti. Mshenga akafanya hivyo kwa visingizio vya kitoto. lakini mpaka leo JPM hajaenda wala kubembelezea hiyo kitu. Jamaa wakapanic na wakaanza kufikiri labda JPM anahamia ukomunistini

Wakuminist kuona hivi, wakatupa karata yao, kwanza wakamualika kwenya kikao muhimu cha SINO Africa, wakijua jamaa hachomoi hapo, na kwa za ndanindani ujumbe wa Russia pia ulikuwepo huko SA, to their surprise JPM hakutokea instead akaenda VP. China na mshirika wake Russia wamesikitika sana. hasa ukizingatia Russia anaitolea macho Gas yetu kwa muda sasa

ikumbukwe Tanzania ina reserve kubwa sana ya Uranium, Gas, na Coal , hivi ni vitu muhimu sana kwa hii miamba ya milengo miwili na mpaka sasa wanashindwa kumuelewa JPM. Hawamsomi wala hasomeki kwao

Naskia soon Tutapata ugeni mzito, wameamua kuja wenyewe

JPM hasomeki, Hongera JPM
Hapa kilicho cha kweli ni "JPM"kualikwa tu, vingine vyote ni hisia zako ambazo pengine zimemea kutokana mazingira tegemezi ya kiafrika ambayo hutoa tafasiri tegemezi kutokana na umasikini wa mtu mmojammoja, jumuia na taifa kwa ujumla. Umefanya logical analysis sio fact analysis ambayo imetokana na hisia zako sio facts. "It is not Man's consciousness which affects the social existence on the contrary it is the social existence which affects man's consciousness"
 
habari naona kama imekaa ki shabiki shabiki zaidi
 
kwa jpm wajiandae kisaikolojia jamaa uwa anawaza zaidi yao wakisuka mpango uwa anaushtukia kabla hawajamfikia
 
mshenga wao naona alikwenda eti kumsalimu.....
 
tusimjadili huyu mtu tatizo ni lugha.mbona kenya alienda


swissme
 
Usijifananishe na mchina.mchina yuko level ya USA kiuchumi na kitechnolojia so ana jeuri ya kukomalia lugha yake.si unajua jeuri ya pesa
Kinachozungumzwa hapa sio level ya Kiuchumi...Kinachozungumziwa ni lugha Chifu...
 
Tatizo lugha kule hawaongei kiswahili,jk alipewa miaka kumi kuwa waziri wa mambo ya nje ili ajifunze lugha akaambulia kile anachoungaunga
A typical Facebook comment. Rest in peace Chisano.
 
Back
Top Bottom