yasn gahoile
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 423
- 110
kwa hy kenya ni nchi ya magharibi fikiria kiwango chako achana na mihemukotusimjadili huyu mtu tatizo ni lugha.mbona kenya alienda
swissme

naona mihemuko imechukua akili yako kabisa ushaur achana na mihemukoKinachozungumzwa hapa sio level ya Kiuchumi...Kinachozungumziwa ni lugha Chifu...
kuna wingu zito kati ya ushirika wa nato na mshenga wao marekani na ule mlengo wa kushoto wenye wakumunist wa zamani China na Russia.
Issue iko ivi.
mabepali wa ulaya na marekani hawamsomi JPM kabisa, kama unavyojua kila Rais mpya anapoingia hawa ndugu zetu hufanya juu chini ili kupata nafasi ya kumteka katika upande wao, ili maslahi yao na ya makampuni kutoka kwao yalindwe. Sasa kasheshe likaanzia hapa
Mabepari walimualika Mh JPM katika mkutano wa jumuiya ya madola in personal, kwanza ili ajitambulishe kwa wenzie lakini pia wapate nafasi ya kuteta nae kuhusu interest zao, na kumvutia kwao. Jamaa hakwenda akatuma wawakilishi.
Wakamualika tena kikao cha mazingira na hali ya hewa, ufaransa, ikiwa ni mara ya pili, ili kupata nafasi tena ya kutimiza ile adhma yao, jamaa tena kakomaa, hakwenda instead akatuma wawakilishi. Hii haikumfurahisha uingereza kabisa na za chinichini zinasema akamtonya mshenga wake marekani watunyime zile za MCC ili Mkuu wa kaya afunge safari kwenda kuwabembeleza na wapate nafasi ya kutoa masharti. Mshenga akafanya hivyo kwa visingizio vya kitoto. lakini mpaka leo JPM hajaenda wala kubembelezea hiyo kitu. Jamaa wakapanic na wakaanza kufikiri labda JPM anahamia ukomunistini
Wakuminist kuona hivi, wakatupa karata yao, kwanza wakamualika kwenya kikao muhimu cha SINO Africa, wakijua jamaa hachomoi hapo, na kwa za ndanindani ujumbe wa Russia pia ulikuwepo huko SA, to their surprise JPM hakutokea instead akaenda VP. China na mshirika wake Russia wamesikitika sana. hasa ukizingatia Russia anaitolea macho Gas yetu kwa muda sasa
ikumbukwe Tanzania ina reserve kubwa sana ya Uranium, Gas, na Coal , hivi ni vitu muhimu sana kwa hii miamba ya milengo miwili na mpaka sasa wanashindwa kumuelewa JPM. Hawamsomi wala hasomeki kwao
Naskia soon Tutapata ugeni mzito, wameamua kuja wenyewe
JPM hasomeki,
Rais Magufuli yupo kwa maslahi mapana ya watanzania na Tanzania, ni moja ya watu wazalendo na waadilifu.
Hakika Tanzania tuna haki ya kujivuna kuwa na Rais ambaye anajua Watanzania wanataka nn na wanastahili nn.
Tunapaswa kujivuna kwa chetu na nina uhakika kwa platform madhubuti ya mh Rais nchi yetu itajiendesha bila kutegemea wahisani
mungu ampe maisha marefu ndgu hyukuna wingu zito kati ya ushirika wa nato na mshenga wao marekani na ule mlengo wa kushoto wenye wakumunist wa zamani China na Russia.
Issue iko ivi.
mabepali wa ulaya na marekani hawamsomi JPM kabisa, kama unavyojua kila Rais mpya anapoingia hawa ndugu zetu hufanya juu chini ili kupata nafasi ya kumteka katika upande wao, ili maslahi yao na ya makampuni kutoka kwao yalindwe. Sasa kasheshe likaanzia hapa
Mabepari walimualika Mh JPM katika mkutano wa jumuiya ya madola in personal, kwanza ili ajitambulishe kwa wenzie lakini pia wapate nafasi ya kuteta nae kuhusu interest zao, na kumvutia kwao. Jamaa hakwenda akatuma wawakilishi.
Wakamualika tena kikao cha mazingira na hali ya hewa, ufaransa, ikiwa ni mara ya pili, ili kupata nafasi tena ya kutimiza ile adhma yao, jamaa tena kakomaa, hakwenda instead akatuma wawakilishi. Hii haikumfurahisha uingereza kabisa na za chinichini zinasema akamtonya mshenga wake marekani watunyime zile za MCC ili Mkuu wa kaya afunge safari kwenda kuwabembeleza na wapate nafasi ya kutoa masharti. Mshenga akafanya hivyo kwa visingizio vya kitoto. lakini mpaka leo JPM hajaenda wala kubembelezea hiyo kitu. Jamaa wakapanic na wakaanza kufikiri labda JPM anahamia ukomunistini
Wakuminist kuona hivi, wakatupa karata yao, kwanza wakamualika kwenya kikao muhimu cha SINO Africa, wakijua jamaa hachomoi hapo, na kwa za ndanindani ujumbe wa Russia pia ulikuwepo huko SA, to their surprise JPM hakutokea instead akaenda VP. China na mshirika wake Russia wamesikitika sana. hasa ukizingatia Russia anaitolea macho Gas yetu kwa muda sasa
ikumbukwe Tanzania ina reserve kubwa sana ya Uranium, Gas, na Coal , hivi ni vitu muhimu sana kwa hii miamba ya milengo miwili na mpaka sasa wanashindwa kumuelewa JPM. Hawamsomi wala hasomeki kwao
Naskia soon Tutapata ugeni mzito, wameamua kuja wenyewe
JPM hasomeki, Hongera JPM
Hata mi nawashangaa mrusi hana haja na gas ye anatumia umeme wa uranium
uko sawa kiongozi tatizo wengine ni kutaka kuonekana wanajua kuchangia na wanachangia pumba yaani hao ndo wanaoshadadia nchi kuendlea kuwa tegemeziTuwe serious katika kujadili issues. Hii ni thread muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu. Kama unafahamu masuala ya international relations lugha haiwezi kuwa issue. Je, PUTIN huwa anazungumza lugha gani anapokutana na Cameron au Obama. Je, yule Rais wa China huwa anazungumza lugha gani kwenye mikutano ya kimataifa au anapokutana na Obama na wengineo. Hujui kuwa kuna wakalimani wanaoweka mambo sawa kwenye mikutano hiyo? Halafu, hii hoja mufilisi ya kwamba JPM hajui kiingereza imeanzia wapi? Tusilete hoja zisizo na maana. Sisi watanzania tuna inferiority complex za ajabu mno. Eti wengi wetu tunadhani kufahamu kuzungumza kiingereza ndio usomi... Kiingereza ni lugha kama zilivyo lugha nyingine. Mbona kuwa wamalawi huko Mwananyamala wengine ni ma-housegirl na wengine wakata michongoma na wazungumza kiingereza lakini maisha yao ni hohehahe? Kuna wakati watanzania walikuwa wanapeleka watoto wao Kenya na Uganda kusoma katika shule za huko na wakirudi na umahiri wa kuzungumza kiingereza wazazi hao, baadhi, walikuwa wanafurahia wakidhani kuwa hiyo ndiyo elimu... Sijui sisi watanzania tukoje..Wapo waztu wanakomalia eti JPM hajui lugha!!! Wapi na wapi??!!
Mkuu, sitaki kuingia kwenye huo ubishi wa magufuli kujua/kutojua kuongea lugha ya kiingereza. Lakini kusema kuwa hizo unazoita 'earpierce' zinasaidia kutafsiri lugha yoyote ile duniani ni uongo mkubwa. Mfano, lugha rasmi ktk vikao vya UN ni sita, kirusi, kiingereza, kichina, kifaransa, kiarabu na kihispania. Ukienda na kimatumbi chako lazima uwe umekitafsiri ktk mojawapo ya hizo lugha sita. OIC, lugha rasmi ni tatu; kiarabu, kiingereza na kifaransa.Sio tu China....India, Cuba, Venezuela, Burundi, Congo na Msumbiji...uwa wanaongea lugha ya Kingereza hawa? Hizi nchi kwa uchache tu, Kingereza hawakijui kabisa. Unajua inasikitisha kuona mpo watu wachache mnaleta mzaha kwenye mada ya msingi kama hii.
Nakushauri...ingia google, download picha yoyote ya viongozi wakiwa kwenye hii mikutano ya kimataifa...utaona wamevaa 'earpierce'...hizo zinasaidia ku-translate lugha yoyote ile duniani. Najua tatizo lako lilikuwa ujinga...Haya nimekuelimisha sasa.
Haijanoga . utotoo Tanzania ni sawa na jogoo na punje ya almasi, alitamana kupata mbadala wa chembe ya mtamakuna wingu zito kati ya ushirika wa nato na mshenga wao marekani na ule mlengo wa kushoto wenye wakumunist wa zamani China na Russia.