SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
kuna wingu zito kati ya ushirika wa nato na mshenga wao marekani na ule mlengo wa kushoto wenye wakumunist wa zamani China na Russia.
Issue iko ivi.
mabepali wa ulaya na marekani hawamsomi JPM kabisa, kama unavyojua kila Rais mpya anapoingia hawa ndugu zetu hufanya juu chini ili kupata nafasi ya kumteka katika upande wao, ili maslahi yao na ya makampuni kutoka kwao yalindwe. Sasa kasheshe likaanzia hapa
Mabepari walimualika Mh JPM katika mkutano wa jumuiya ya madola in personal, kwanza ili ajitambulishe kwa wenzie lakini pia wapate nafasi ya kuteta nae kuhusu interest zao, na kumvutia kwao. Jamaa hakwenda akatuma wawakilishi.
Wakamualika tena kikao cha mazingira na hali ya hewa, ufaransa, ikiwa ni mara ya pili, ili kupata nafasi tena ya kutimiza ile adhma yao, jamaa tena kakomaa, hakwenda instead akatuma wawakilishi. Hii haikumfurahisha uingereza kabisa na za chinichini zinasema akamtonya mshenga wake marekani watunyime zile za MCC ili Mkuu wa kaya afunge safari kwenda kuwabembeleza na wapate nafasi ya kutoa masharti. Mshenga akafanya hivyo kwa visingizio vya kitoto. lakini mpaka leo JPM hajaenda wala kubembelezea hiyo kitu. Jamaa wakapanic na wakaanza kufikiri labda JPM anahamia ukomunistini
Wakuminist kuona hivi, wakatupa karata yao, kwanza wakamualika kwenya kikao muhimu cha SINO Africa, wakijua jamaa hachomoi hapo, na kwa za ndanindani ujumbe wa Russia pia ulikuwepo huko SA, to their surprise JPM hakutokea instead akaenda VP. China na mshirika wake Russia wamesikitika sana. hasa ukizingatia Russia anaitolea macho Gas yetu kwa muda sasa
ikumbukwe Tanzania ina reserve kubwa sana ya Uranium, Gas, na Coal , hivi ni vitu muhimu sana kwa hii miamba ya milengo miwili na mpaka sasa wanashindwa kumuelewa JPM. Hawamsomi wala hasomeki kwao
Naskia soon Tutapata ugeni mzito, wameamua kuja wenyewe
JPM hasomeki, Hongera JPM