Ni neno zuri linalotumiwa vibaya na wenye nia mbaya.hapa kaz tu
mkuu watu waache ushabiki usio na maana, kuna dili ni lazima president wa nchi akabembeleze. Mfano mdogo unataka kununua ndege za kivita za kisasa lazima magu aendeMwandishi wajidanganya hawo watu ni kiboko magufuli hawawezi samuraia lao lazima liwe na wewe habar hyo umeipata wapi au ndo mawazo yako tu
Wewe upo kijiji gani, mbona watu wengi kule tunaona viongozi wengi wakitoa hutuba kwa Lugha zao. Sifa za kiongozi siyo kujua kuongea kwa ufasaha kila Lugha za Dunia, bali ni Elimu yake hapa kwenye Elimu inamaana ni mwanga na wala haihitaji watu waliosoma sana, maana hao ni wataalamu kwenye nchi, DR, Prof.Tatizo lugha kule hawaongei kiswahili,jk alipewa miaka kumi kuwa waziri wa mambo ya nje ili ajifunze lugha akaambulia kile anachoungaunga
Sio Lugha. JPM alishawahi kuwa mwalimu akifundisha Chemistry na Hesabu alifundishaje kama hawezi English?. JPM ni mzee wa principles hayumbishwi na viugali kidogo. Napenda sana hiyo......Tatizo lugha kule hawaongei kiswahili,jk alipewa miaka kumi kuwa waziri wa mambo ya nje ili ajifunze lugha akaambulia kile anachoungaunga
Mkuu, tutachimba na vidole au jembe la mkono?Labda ndo maana kuna mtu kamwambia Obama amualike Marekani..
tungekuwa na akili tungehakikisha gas yoote tunachimba wenyewe na kuwauzia tu...
Tatizo lugha kule hawaongei kiswahili,jk alipewa miaka kumi kuwa waziri wa mambo ya nje ili ajifunze lugha akaambulia kile anachoungaunga
It seems you are void of diplomacy and global politics' strategies of super powers. Aidha, unatakiwa kufahamu kuwa fursa hutengenezwa, hazufuatwi. Cheap opportunisric tendencies is not the expected calibre of a reputable stateman. Rais anayefuata fursa (sema chambo) zinazotengenezwa na wababe wa siasa za dunia hii huishia kuingiza nchi zao kwenye matatizo. JPM yuko sahihi. Kwa njia hii yeye ataweza kuwasoma hao wanaotaka kumsoma.SOURCE please!!!Kutokuhudhuria mikutano sio ujanja kwa kuwa unaipotezea nchi fursa nyingi.Utaja jua tu kwanini mkuu wa kaya anaipiga chenga mikutano ya kimataifa wakati muda utakapofika.Fikirisha akili kidogo kabla yakuleta uzi mheshimiwa.Ukinyamaza unaweza hesabiwa hekima zaidi.
kuna wingu zito kati ya ushirika wa nato na mshenga wao marekani na ule mlengo wa kushoto wenye wakumunist wa zamani China na Russia.
Issue iko ivi.
mabepali wa ulaya na marekani hawamsomi JPM kabisa, kama unavyojua kila Rais mpya anapoingia hawa ndugu zetu hufanya juu chini ili kupata nafasi ya kumteka katika upande wao, ili maslahi yao na ya makampuni kutoka kwao yalindwe. Sasa kasheshe likaanzia hapa
Mabepari walimualika Mh JPM katika mkutano wa jumuiya ya madola in personal, kwanza ili ajitambulishe kwa wenzie lakini pia wapate nafasi ya kuteta nae kuhusu interest zao, na kumvutia kwao. Jamaa hakwenda akatuma wawakilishi.
Wakamualika tena kikao cha mazingira na hali ya hewa, ufaransa, ikiwa ni mara ya pili, ili kupata nafasi tena ya kutimiza ile adhma yao, jamaa tena kakomaa, hakwenda instead akatuma wawakilishi. Hii haikumfurahisha uingereza kabisa na za chinichini zinasema akamtonya mshenga wake marekani watunyime zile za MCC ili Mkuu wa kaya afunge safari kwenda kuwabembeleza na wapate nafasi ya kutoa masharti. Mshenga akafanya hivyo kwa visingizio vya kitoto. lakini mpaka leo JPM hajaenda wala kubembelezea hiyo kitu. Jamaa wakapanic na wakaanza kufikiri labda JPM anahamia ukomunistini
Wakuminist kuona hivi, wakatupa karata yao, kwanza wakamualika kwenya kikao muhimu cha SINO Africa, wakijua jamaa hachomoi hapo, na kwa za ndanindani ujumbe wa Russia pia ulikuwepo huko SA, to their surprise JPM hakutokea instead akaenda VP. China na mshirika wake Russia wamesikitika sana. hasa ukizingatia Russia anaitolea macho Gas yetu kwa muda sasa
ikumbukwe Tanzania ina reserve kubwa sana ya Uranium, Gas, na Coal , hivi ni vitu muhimu sana kwa hii miamba ya milengo miwili na mpaka sasa wanashindwa kumuelewa JPM. Hawamsomi wala hasomeki kwao
Naskia soon Tutapata ugeni mzito, wameamua kuja wenyewe
JPM hasomeki, Hongera JPM
Kuna mwalimu wangu alikuwa anachapia mbaya,tena hawa walimu wa sayansi hawajui kabisa political terminologySio Lugha. JPM alishawahi kuwa mwalimu akifundisha Chemistry na Hesabu alifundishaje kama hawezi English?. JPM ni mzee wa principles hayumbishwi na viugali kidogo. Napenda sana hiyo......