Kimeniuma kwakweli

Kimeniuma kwakweli

We mchepuko tarajiwa ulichonifanyia jana sitokaa nikusamehe labda unitunuku mambo yetu yale kudadadeki;

Yaani nitoke nyumbani tena kwa kulizua tu kwa wife kimagumashi, nichome mafuta yangu ya kugidagida mpaka kwenu takriban 72 km go and return gari 2500cc tukakaa kwenye maongezi zaidi ya masaa 2 gari iko silence unakula unyunyu wangu tukitafuta muafaka wa kugegedana ukawa unanizingua.
Ghafla anapokea simu kwa woga tena kwa mwanaume kama mimi na yeye alikuwa anakutongoza tu kwa mujibu wa maongezi yenu nilivokuwa nayasikia, yeye unampa appointment tena kwenye gari langu unakula AC tu sehemu ya kukutana mkagegedane mi unaniletea sinema

Kimeniuma kwa kweli

Unajijua kudadadeki wewe#JANA

Nipe namba ya mkeo nimuulize kama ni kweli
 
komaa kzba!
naona umempania sana huyo Dada...ila ujue Ndo kuna kuumia hivo coz hapo kuna uchepukaji...

siku ingine atakupeleka umbali wa 500km afu utaambulia patupu......
 
komaa kzba!
naona umempania sana huyo Dada...ila ujue Ndo kuna kuumia hivo coz hapo kuna uchepukaji...

siku ingine atakupeleka umbali wa 500km afu utaambulia patupu......

Babu yashanikuta hayo mwaka uliopita, nilitoroka job ijumaa nikala fatjet to mwanza kwenda kuchepuka nafika kule ananiambia ana kisusio nilichoka ila alikuwa mstaarabu nikaambulia mambo yetu yale ya Tunu basi ikawa fahmilillah
 
tafuta wa kutia machozi ! wakati ukitafuta pozi la kumchinja huyo kuku anaekimbia bandani....

akizingua tena tumia manati
 
Hata wa maana basi ndugu...yan hamna kitu,..... tu dada fulani twa kichaga sema mi nilitaka kupandisha rejesta yangu tu aisee

Vipi huyu nae ni mrombo?maana ukishasema umewagegeda Sana mabinti wa huko.
 
janga janga atoto
zamani wanawake ndo tulikua tunatangazana siku hizi kijiti wamepokea wanaume

MWANume asiejua kutunza siri huwa nafikiri sana juu ya maisha yake ya kawaida

kuwa gentlemen sio kuvaa nadhifu tu kutunza siri na kusikiliza hizo ni sifa kuu

yaani masai dada tunakoelekea tutaoa mama, maana hawa wanaume wa siku hizi wamebaki kuwa wanaume majina, vibarazani tunakesha nao, sasa hapo kuna mwanaume kweli!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda story yako komaa nayo mpaka kieleweke then uje na mrejesho
 
Ha.ha ha ha ha jf raha sana ... umeshaliwa we mchepuko ye naye anamchepuko... unazima gari unafungua vioooo unakuwa kama mlinzi wa jeshi macho huku.na kule ha.ha ha ha maisha matamu loh
 
Ha ha tamu.ya pipi kumumunya ha ha kibonge nicheke mie nipanue mbavu

ila nimeipenda styl ya binti, alipiga mahesabu akaona dalili za kukopwa, akuuu akatafuta ustaarabu mwingine tena kwa kumuonyesha kuwa anaweza! teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom