miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Nakuja leo usiku!
uwii basi..
Yani mchepuko tu ndio unapaniki hivyo?Angekuwa mke?
Hahaahaa mapema yote hii mkuu?
Sasa ulitaka nifanyeje wakati unajua wazi mapenz ni kama kiti cha daladala halafu ujifunze siku nyingine kazi kunipiga baridi na li AC lako utafikiri nimekwambia nje joto lilikuwa linaniua..wenzio wanaongelea wallet yaan peisaahh blabla nyingi ya mkeo hii
Mxiuuuuuu...
Nakuja leo usiku!
kutongozana mtongozae pm, kudhalilishana mje mdhalilishane kwenye thread........shame on you
kutongozana mtongozae pm, kudhalilishana mje mdhalilishane kwenye thread........shame on you
We Mchepuko tarajiwa wewe ulichonifanyia jana sitokaa nikusamehe labda unitunuku mambo yetu yale kudadadeki.
Yaani nitoke Nyumbani tena kwa kulizua tu kwa wife kimagumashi, nichome mafuta yangu ya kugidagida mpaka kwenu takriban 72 km go and return gari 2500cc tukakaa kwenye maongezi zaidi ya masaa 2 gari iko silence unakula unyunyu wangu tukitafuta muafaka wa kugegedana ukawa unanizingua.
Ghafla anapokea Simu kwa woga tena kwa mwanaume kama mimi na yeye alikuwa anakutongoza tu kwa mujibu wa maongezi yenu nilivokuwa nayasikia, yeye unampa appointment tena kwenye gari langu unakula AC tu sehemu ya kukutana mkagegedane mi unaniletea sinema.
Kimeniuma kwa kweli.
Unajijua kudadadeki wewe#Jana.
gentleman hawezi kuja mwaga radhi kwenye kadamnasi namna hii, si walitongozeana pm, hili bandiko angemtumia huko huko pm, w'end njema dada anguYou are so giniaz...nimekupenda bure!
gentleman hawezi kuja mwaga radhi kwenye kadamnasi namna hii, si walitongozeana pm, hili bandiko angemtumia huko huko pm, w'end njema dada angu
​dada wanaume siku hizi ni wachache, wengi ni wavulana ndo mana matokeo yake ndo haya unayoyashudiaThanks ila nimegundua kitu hapa..kweli wanaume mlio humu wengi hamna uvumilivu kabisa....ukisoma mada nyingi zenye malalamishi ya jf hupostiwa na wakaka wakieleleza lawama kwa wadada mara tu mambo yanapokua vice versa pindi wakutanapo ..
Thanks ila nimegundua kitu hapa..kweli wanaume mlio humu wengi hamna uvumilivu kabisa....ukisoma mada nyingi zenye malalamishi ya jf hupostiwa na wakaka wakieleleza lawama kwa wadada mara tu mambo yanapokua vice versa pindi wakutanapo ..
grafani nimesema wengi wenu sio woteTukiwatongoza sisi wazee wenzenu mnasema hatuna hela, mara ooh hatuna six pack kama za masharobaro. Mkifunuliwa sketi huko halafu mkianikwa hadharani mnajumlisha wanaume wote wa JF. Mimi binafsi umenidhalilisha, niombe radhi. Nina miaka mingi humu umewahi kunisikia nikilalamika au unadhani sijatapeliwa na wadada wa JF?
Ukitendwa kimyakimya leo dawa yake jifanye mjinga kesho akiingia 18 yako unamfanyia umafia tu, ngoma inakua droo atasimulia mbele ya safari....
ila nimeipenda styl ya binti, alipiga mahesabu akaona dalili za kukopwa, akuuu akatafuta ustaarabu mwingine tena kwa kumuonyesha kuwa anaweza! teh teh teh