Kimeniuma kwakweli

Kimeniuma kwakweli

Kwani ac yako nimekuomba au? ,wee njoo na daladala lakini wallet iwe imetuna una tunisha nanilii akati walet imepwaya khaaa, wacha niongee na waliotunisha vyote kwenye gari yako, utakula kwa macho mvulana mkubwa bahil wew

Nani? Mimi?
 
Angekuwa mke asingeumia maana hamjali na ameshamuona hafai ndio maana akamsaliti lakini iko siku wenye tabia hizi watajua thamani za wake/waume zao ingawa mara nyingi yanapowafika inakuwa too late

Hayana mmoja haya, we jimalize tu
Yakikukuta ndo utajua sema hyo jinsia yako ndo inakulinda
 
Wife home umemuachia 10 atumie siku tatu. Kwa Bi mdachi hela haujatuma. Dingi mdogo aliomba 50 ukamtosa. Yatima pale jirani siku ya pili leo hawajala. Ninawaza tuu.

mkuu unatumia fanta.??kama ndivyo chukua kwa mangi hapo nitalipa
 
ndogo aiseeee.......mchepuko unatakiwa kutoa hela ndefu.....sasa 60,000 tu......sasa kwanini achepuke kisa 60,000.....ndiyo maana kasepa.....

Du sasa na wewe mbona wanikatisha tamaa, sasa ningempa bei gani manake mi ndo dau langu hlo kwa kifua chupi mdau
 
Du sasa na wewe mbona wanikatisha tamaa, sasa ningempa bei gani manake mi ndo dau langu hlo kwa kifua chupi mdau

sasa kama mtu anachepuka kwa elfu 60 kuna haja kweli ya kuchepuka......sijui kwa kweli kwa wachepukaji......
 
Kweli hayo mawazo yako, wanaume wa siku hizi hatuko ivo, home kwanza migegedo baadae.

Tulizana bhana na ukiamua kuchepuka iwe siri yako basi sio unatangazia umati. Vp ukisikia ulivyotoka tuu kuna njemba nayo ikaingia ikapiga kazi ikasepa kimya kimya.
 
Muonee wivu mkeo na siyo mchepuko. Tulia tu na mke wako, mbona mzuri tu ndiyo maana ukamuoa. Wako ni huyo uliyemuweka ndani, huyo mchepuko ni wa wote.

Kama kweli kumbe wazuga tu
 
Hahahaaaa muda mwingine tumuombe mungu haya mapepo yaishe yani tuyakemee kwa nguvu zote
 
dah mchepuko mazafanta kabisa.ingekuwa siyo ujasiri ningekuwa nishaikacha familia au la ningekuwa na mke wa pili tayar.miez 8 sasa imepita baada ya kuachana na michepuko.mazafanta zenu kabisa michupuko,kafieni mbali kabisa
 
Wife home umemuachia 10 atumie siku tatu. Kwa Bi mdachi hela haujatuma. Dingi mdogo aliomba 50 ukamtosa. Yatima pale jirani siku ya pili leo hawajala. Ninawaza tuu.

na mtoto wake hata daftari za kuandikia hana, anadaiwa elf5 ya tuishen, hela ya mlinzi buku2 haijalipwa, anadaiwa kodi ya nyumba, nyumbani dagaa(misumali ya bati) daily. Hii michepuko itawamaliza.
 
ujue sijaona sababu ya kulialia hapa, we unajua ni mume wa mtu nay anajua ni mchepuko so yuko free apo ata akikwambia ngojea nimalizane na mwenzio unakuwa mpole
 
Haya ni mambo binafsi. kwa nini umeyaleta hapa? Hivi JF ingelikuwa inatoza kodi kwa kila unachoandika hapa, ungeliweza kuandika huu utumbo kweli? Hebu jaribuni kuwa wastaarabu kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom