Kimeniuma kwakweli

Kimeniuma kwakweli

eebana eeh...mkuu bado una nafasi ya kuchepuka...kuwa wewe ni mchepukaji hakuna haja ya kulia....
Nenda kwa mwingne hadi hasira ikuishe....
 
Ungefanya hivyo uone ambavyo ungeenda kuozea segerea

Nishazoe kule kwanza kaka mkubwa yeye asaini hati za vifo ningee kwa muda tu then maisha yanaendelea alaf bora segerea ingekuwa keko ningeogopa kidogo
 
Mpe ushauri huyo kijana.Wanaumw mmeumbwa na vifua vya kukabiriana na kila hali sasa kama mchepuko tu kaanza kumsema hivyo angechukuliwa mke si tz nzima ingejua

Ningesema ili roho yangu itulie, kukaa na vitu kama hivi kunaziba nafasi ya vitu vya maana
 
Kwani ac yako nimekuomba au? ,wee njoo na daladala lakini wallet iwe imetuna una tunisha nanilii akati walet imepwaya khaaa, wacha niongee na waliotunisha vyote kwenye gari yako, utakula kwa macho mvulana mkubwa bahil wew

Potelea mbali
 
Angekuwa mke asingeumia maana hamjali na ameshamuona hafai ndio maana akamsaliti lakini iko siku wenye tabia hizi watajua thamani za wake/waume zao ingawa mara nyingi yanapowafika inakuwa too late

Basi wala
 
ndogo aiseeee.......mchepuko unatakiwa kutoa hela ndefu.....sasa 60,000 tu......sasa kwanini achepuke kisa 60,000.....ndiyo maana kasepa.....

Nitamtia mikononi tu na nitaleta mrejesho hapa wala hana ujanja sema nilichukia nikazila ilikuwa anitunuku
 
kzba hizo ndizo gharama za michepuko, lazima ajifanye ghali kuliko mkeo. Maana kama mkeo ni wa kiwango cha juu basi usingekwenda kwake mchepuko, ungetulia na mkeo nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
eebana eeh...mkuu bado una nafasi ya kuchepuka...kuwa wewe ni mchepukaji hakuna haja ya kulia....
Nenda kwa mwingne hadi hasira ikuishe....

Mi na deal na huyuhuyu kwanza
Hata sikubali *****
 
..ulisahau kutenga buku 2 ya ruff ryders..

Mdau hzo ninazo tena za ulaya zinaitwa maskon ni kiboko, ni ngumu alafu ukivaa uhisi kama iko yan kama unaloweka aisee
 
kzba hizo ndizo gharama za michepuko, lazima ajifanye ghali kuliko mkeo. Maana kama mkeo ni wa kiwango cha juu basi usingekwenda kwake mchepuko, ungetulia na mkeo nyumbani.

Hata wa maana basi ndugu...yan hamna kitu,..... tu dada fulani twa kichaga sema mi nilitaka kupandisha rejesta yangu tu aisee
 
Last edited by a moderator:
Hata wa maana basi ndugu...yan hamna kitu,..... tu dada fulani twa kichaga sema mi nilitaka kupandisha rejesta yangu tu aisee

Dah aisee kumbe wanaume tabia tunafanana maana hata mie wakati mwingine natamani kujaza rejesta.
 
Nitamtia mikononi tu na nitaleta mrejesho hapa wala hana ujanja sema nilichukia nikazila ilikuwa anitunuku

saa nyingine waswahili husema ' heri nusu shari kuliko shari zima '.....ningekuwa wew ningechapa lapa mapema mana sijui nini nimeepushwa......ni kusonga mbele na kuachana na huo mchepuko....mana utasema utamkomoa kumbe na yeye anapanga ua kupanga.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom