Kimeanza kunuka UKAWA, maneno ya Makwilo


Ondoa unafiki na uongo..

Huna tofauti na mchawi
 
Naona Act wameanza majungu ya Mume wake yule yupo Lumumba... Baada yakuona serekali za mita hawapati kitu
 
Unajisikiaje kupost pumba..?

Huyo ni mchawi mkubwa tena shetani kabisa..

Nilibahatika kuhudhuria mimutano kadhaa ya Dr Slaa na yote aliitumia kunadi wagombea wa Ukawa.Alisimama jukwaani na wagombea wa cuf,nccr na chadema.
 
Najua huyu hatarudia tenda kukojoa sebuleni mchana jua linawaka
 
akizungumza manzese mzee aliekosa soni pamoja na kupewa tahadhari na washirika wao yani CUF hiyo ni ngome yao DK HAKUJALI CUF ILISHINDA MITAA 3 na mingine mitano walishika nafasi ya pili.
pamoja na kutumiwa msg kujulishwa dk slaa hakujali .
ukawa waingalie chadema wanaitumia kugain popularity lakin hawaheshimu MOU
MFANO NI GEITA ARUSHA MJINI NA SASA MANZESE.
CHADEMA NI CHAMA CHA KILAGHAI
 

Sa umeongea nn hapo? We kweli honge la nyau aka "big pu.ssy"
 
haaa haa naona Chadema imewakalia kooni Maccm
Nani kamtumia hiyo SMS je ulioneshwa?
 
Kwa hiyo wewe liccm ndio umekuwa mtetezi wa UKAWA?
Ukawa itatetewa na wanaUKAWA na sio ccm.
Hata CUF unaotaka kuwagombanisha na CHADEMA wanakushanga unavyohangaika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…