Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Hiki kimbunga kimetokea Kabale Uganda katika ziwa Bunyonyi. Hili ziwa lina kina cha 7km, linasemekana kuwa la 5 kwa urefu wa kina duniani. Ila ni ziwa hatari sana maana watu wengi hupotea wanapochezea kandokando na bahat mbaya kuteleza kwenye maji..
Hiki kimbunga kimeambatana na mvua kubwa ya mawe. Ni kma kilkuwa kikivuta maji toka ziwani na kupeleka mawinguni.
Wachiga ( kabila la watu wa KAMBALE, uganda) huamini kuwa wanapopigia kelele na Ngoma kimbunga cha namna hii hupotea au huama. Angalia kwenye video utaona walivyoanza kupiga kelele kilivyokimbia.
View attachment VID-20190121-WA0037.mp4View attachment VID-20190121-WA0036.mp4View attachment VID-20190122-WA0000.mp4
Sent using Jamii Forums mobile app