SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Wanawake wenye heshima zao na uvumilivu na ukarimu kama wako mko wachache sana dunia ya leo!!. The world would be a better place kama wanawake wote wangekuwa na mtazamo wako.Nsiukubali kwanini?
Mimi ni mtu na imani yangu ya dini nsipokubali vitu ambavyo vimeamrishwa ntakua mnafiki...
Kazi yangu itakua kuinama na kuinuka sawa na kufanya mazoezi instead of ibada....
Sio kuwa sina wivu la hasha..humuambia tu ukitaka kuoa mke wa pili uniambie tu na usinidharau....
Kila mtu ana rizki yake...
Nsiukubali kwanini?
Mimi ni mtu na imani yangu ya dini nsipokubali vitu ambavyo vimeamrishwa ntakua mnafiki...
Kazi yangu itakua kuinama na kuinuka sawa na kufanya mazoezi instead of ibada....
Sio kuwa sina wivu la hasha..humuambia tu ukitaka kuoa mke wa pili uniambie tu na usinidharau....
Kila mtu ana rizki yake...
Purukushani baina yetu wanawake wa siku hizi wengi wana roho mbovu....ila watu zamani wanaolewa wanne tena wanaishi nyumba moja na wala hawagombani tena huitana dada hasa...
Kila siku unakwepa maswali yangu! But leo nimekuja na fimbo hapa! Usipojibu nakuchapa!
Teh teh teh! Utani tu!
...
Yap! Generally me mmoja anamtosheleza ke m1 hata wa3!
Sema inategemea na me mwenyewe! Hawa viepe mayai hawawezi hilo!
...
But ke mmoja hawezi kutosheleza me zaidi ya mmoja! Yes! Haiwezekani ke agongwe vitatu na baada ya saa moja agongwe tena! Unalo?!!!
Asante mwalimu mkuu.
Hawajui hawaturidhishi tunawastahi tu.
Hivi unadhani mwanamme mmoja anamtosheleza mwanamke? Au wanawake hawana matamanio?
Si lazima kuoa, bora kuwa free ukala upendavyo.
Kumbe tunaoa ili tukidhi matamanio tu??
halafu hilo love unaligawanya vipi kwa hao wanne!
mm nashindwa kuelewa unawapendaje wanawake wanne kwa wakati mmoja?? au ni ku watamani tu lakini hakuna upendo??
farkhina,
Najua unaogopa kusema tu, ila kiukweli huukubali mpango huo. Ndo maana wengi wenu mnaishia kuwa na msaada huko nje ya ndoa zenu. Ukila vizuri, mwili hauna ugonjwa, unahitaji mwanaume kila siku. Kama yeye anahitaji mwanamke kila siku, hata weye farkhina. Ukweli usemwe, utatuweka huru
Sasa mwanamke naye ashindwe kwani ana cha kusimamisha kuwa kitagoma?
Au anaitenga tu kama mboga, mchovyaji atajua mwenyewe?
Sijawahi sikia mganga wa kuongeza nguvu za kike
Mwanangu nimekupata,nimetamanije,ila mkuu gharama sana labda financial uwe fit sana.Kiukweli mwanamke mmoja ni very boaring.,kutokana na hilo inakulazimu mtu uwe na mechi za pembeni nyingi ili kupunguza stress.Kitu ambacho ungekuwa na wake official let say 3 usingetoka nje mara kwa mara.hawa jamaa wanaopinga hawajawahi kutoka inje? Ukweli mwanamke mmoja hatoshi, hapa nilipo nina wanawake 4, bibi mkubwa ana miaka 40, bibi mdogo anayefuata ana mika 25. anayefuata 20, huyu wa mwisho nimemuowa mwaka huu ana miaka 18. Nafaidi mapenzi kuliko hata mawaziri
..1
Sasa mwanamke naye ashindwe kwani ana cha kusimamisha kuwa kitagoma?
2..
Au anaitenga tu kama mboga, mchovyaji atajua mwenyewe?
..3
Sijawahi sikia mganga wa kuongeza nguvu za kike