Kimaumbile ya Mwanaume, mmoja hatoshi!!!

Mh mwanamke ameumbwa kukidhi matamanio na haja ya mwanaume




Leo unapiga kwa Aisha, kesho kwa Maryam keshokutwa zamu ya mke watatu


Daah ila kaamrisha Allah who I am to object?

Naogopa hata kuwaza mambo haya mnayoyasingizia Mungu. Kweli Mungu amuumbe mwanamke ili awe kitulizo cha mwanamme tu! Huyu Mungu wa jinsi hii ni wa ajabu sana. Naamini na anisamehe tu kuwa ni; mbaguzi, mwonevu tena asiyejali uumbaji wake.
Hao wanawake wanao shea mkuki mmoja na mwenzake, tena bila taabu yeyote, anajua leo mwenzangu ameuchukua mkuki wangu anautumia atakavyo, halafu ajikunyate mwenyewe, Oh! It pains. Duh!
Hivi mnajua kuwa Mwanamke anao uwezo wa kuwachokesha waume 3 kwa siku? Iweje weye umkondeshe kwa siku 3 ndiyo akuone tena? Halafu ukija, awe tayari bila hiana kuupokea na kufurahia. Sijui, mi huwa nikijua kuwa kuna mtu katoka humo hata kama ni mumewe huwa sitamani tena. sasa mwanamke mbona hajisikii kinyaa? Poleni mnaoichangia hiyo mikuki
 
Binafsi hilo suala wala sipingani nalo na aoe hadi tuwe wanne...
Ila nsichokiweza ni purukushani zake maana hao watakao kuja wengi wao hujifanya wa maana na kuwazarau waliotukuta...
Na baadhi ya waume ndio chanzo cha nyie kugombana maana anakua unaelemea upande mmoja zaidi.
Ukewenza kazi si mchezo.
 

Kwani hakuna aya na miongozo ya namna ya kuishi ninyi mnaoolewa mitala?
Purukushani ya nini wakati ni maamrisho ya mungu?
Kama unaweza vumilia kasoro nyingine za ndoa kwanini hii ya kushare mwanaume m1 usiibebe kama kasoro nyingine na kuivumilia. Infact hutakiwi kuivumilia ni kuipenda kwa dhati!
 
I will be back ila fada za kuoa mke zaidi ya mmoja ni nyingi.
 
ata wanawake nao wanamatamanio ya kuwa na mgegedo zaidi ya mmoja so wote tunapenda kugegedana
 

Hili ndo jibu lenyewe haswa..mengine yote makelele tu
 


Purukushani baina yetu wanawake wa siku hizi wengi wana roho mbovu....ila watu zamani wanaolewa wanne tena wanaishi nyumba moja na wala hawagombani tena huitana dada hasa...
 
Uke wenza ni ruksa wala si AMRI!


Mie ukiwenza staki staki kabisaaaaaaa

Bora nkaolewe peponi nyie wanaume WA duniani mtanisameh
 

Bilal anamiliki papuch ngapi?
 

farkhina,
Najua unaogopa kusema tu, ila kiukweli huukubali mpango huo. Ndo maana wengi wenu mnaishia kuwa na msaada huko nje ya ndoa zenu. Ukila vizuri, mwili hauna ugonjwa, unahitaji mwanaume kila siku. Kama yeye anahitaji mwanamke kila siku, hata weye farkhina. Ukweli usemwe, utatuweka huru
 
Mtoa mada ameelezea vizuri tu ni kwa kwamujibu imani, unachoanini wewe upande wa pili ni makatazo. mfono hai waislam kumuingilia mwananke kabla ya ndoa imekatazwa nizinaa, hata kama wachumba lakini kwa wakristu tumeona watu wanaishi bila ya ndoa mpaka wanazaa hata watoto hata watatu, baade wanaenda kubariki ndoa je wanabariki ndoa iliefungwa wapi. Hizi imani tuache kila mtu aamini anachookiamini ili mladi tufike tuendako rofauti ni njia ila nia ni moja.
 
Kipya kinyemi farkhina, hapa bila shaka mke mdogo ndiye anayefaidi zaidi na si ajabu njemba inalala kwa mke mdogo mara nyingi zaidi ukilinganisha na hao wake wengine.

Hongera kwa kufaidi na uadilifu je unauweza?
Isijekua kwengine wapeleka nyama kwengine dagaa kwengine mchicha...
 
Last edited by a moderator:
Kipya kinyemi farkhina, hapa bila shaka mke mdogo ndiye anayefaidi zaidi na si ajabu njemba inalala kwa mke mdogo mara nyingi zaidi ukilinganisha na hao wake wengine.

Umeona....badala ya kufata suna kama njia ya pepo...anajitengezea moto
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
hayo ni nawazo ya kimalaya.unatakiwa uponywe mwili na roho.
 
Hii mada wote tunajua itakokoelekea, watu badala ya kujadili mada watahamia kwenye ubishi wa dini usio na tija. Ila ngoja tuone labda inaweza kuwa tofauti kidogo kwa mada hii.
 

Nsiukubali kwanini?
Mimi ni mtu na imani yangu ya dini nsipokubali vitu ambavyo vimeamrishwa ntakua mnafiki...
Kazi yangu itakua kuinama na kuinuka sawa na kufanya mazoezi instead of ibada....
Sio kuwa sina wivu la hasha..humuambia tu ukitaka kuoa mke wa pili uniambie tu na usinidharau....
Kila mtu ana rizki yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…