Kimaumbile ya Mwanaume, mmoja hatoshi!!!

kingofyou

Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
52
Reaction score
15
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)

Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.

Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje

*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.

Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.

Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.
 
kama muumba angeliona hilo hakika angemuumbia adamu mke zaidi ya mmoja,lakini kwa kuwa alijua inawezekana sana kwa mwanaume kuridhishwa na mwanamke mmoja ndio maana akampa mke mmoja tu hawa,hayo mengine ya kimaumbile na sijui nini ni innovation za wanadamu tu ili kuhalalisha uasherati,hivyo ndivyo nionavyo mimi.
 
hivi ukiwa na wake wanne si watakitawala...halafu hiyo familia yako si itakua mzigo kwa taifa let's say kila mmoja akizaa wtoto wanne
 
Kumbe tunaoa ili tukidhi matamanio tu??
halafu hilo love unaligawanya vipi kwa hao wanne!
mm nashindwa kuelewa unawapendaje wanawake wanne kwa wakati mmoja?? au ni ku watamani tu lakini hakuna upendo??
 
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)

Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.

Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje

*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.

Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.

Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.

Mkuu sijakuelewa hapo kwenye red, unamaana wanawake nao watafute waume zaidi ya mmoja, soma maelezo yako hapo

kwenye red tu, kisha lete majibu sahihi.
 
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)
.

Hayo maandiko yapo kwenye kitabu gani?
 
Ninaamini katika kitabu kisicho na shaka ndani mwake.
 
Ila mi naona ukiwa na wake wanne lazima vidume vikusaidie asee. Manake kama ni ratiba ya siku mbilimbili, wife anakusubiri wiki ndo uje umpe chakula yake... duh
 
labda kwa kuwa unafikiri maisha ni kungonoka tuuu!

hauwaz juu ya upande mwingine wa maisha............wake wa 4 wa nn jaman zama iz!
 
Hivi unadhani mwanamme mmoja anamtosheleza mwanamke? Au wanawake hawana matamanio?

Si lazima kuoa, bora kuwa free ukala upendavyo.
 
Kudadadeki!
Hilo nalo neno!
...
Lakini huoni kwamba kipindi kile ilikua tofauti sanaaaaa!
Thus why, waliweza kuzaa watoto SITA kwa siku!
Au ninyi mnaamimi walizaa watoto wangapi kwa siku moja????
Jee hiyo ni kawaida?

kama muumba angeliona hilo hakika angemuumbia adamu mke zaidi ya mmoja,lakini kwa kuwa alijua inawezekana sana kwa mwanaume kuridhishwa na mwanamke mmoja ndio maana akampa mke mmoja tu hawa,hayo mengine ya kimaumbile na sijui nini ni innovation za wanadamu tu ili kuhalalisha uasherati,hivyo ndivyo nionavyo mimi.
 
Tangu awali MUNGU aliumba MWANAUME mmoja na MWANAMKE mmoja.
Kinachozidi ni tamaa za wanadamu!
 
Hii mada yako haijadiliki kwa kuwa tayari umeingiza mtazamo wa dini ndani yake...

La hasha watakaoweza kujadili ni hao wa dini uliyoipambanua katika maandishi yako hapo juu...

Wataweza kufanya hivyo kwa kuwa ndio waelewa wa nini walichoelekezwa katika vitabu vya Imani yao...

Sisi wengine ngoja tuwe wasomaji tu....
 
Hivi unadhani mwanamme mmoja anamtosheleza mwanamke? Au wanawake hawana matamanio?

Si lazima kuoa, bora kuwa free ukala upendavyo.

Kila siku unakwepa maswali yangu! But leo nimekuja na fimbo hapa! Usipojibu nakuchapa!
Teh teh teh! Utani tu!
...
Yap! Generally me mmoja anamtosheleza ke m1 hata wa3!
Sema inategemea na me mwenyewe! Hawa viepe mayai hawawezi hilo!
...
But ke mmoja hawezi kutosheleza me zaidi ya mmoja! Yes! Haiwezekani ke agongwe vitatu na baada ya saa moja agongwe tena! Unalo?!!!
 
Mh mwanamke ameumbwa kukidhi matamanio na haja ya mwanaume

Leo unapiga kwa Aisha, kesho kwa Maryam keshokutwa zamu ya mke watatu

Daah ila kaamrisha Allah who I am to object?
 
labda kwa kuwa unafikiri maisha ni kungonoka tuuu!

hauwaz juu ya upande mwingine wa maisha............wake wa 4 wa nn jaman zama iz!

Kwa sababu ongezeko la wanawake na idadi ya ke ni kubwa kuiko wanaume "ilituepuke Zinaa (adultery) na tuende kihalal !!
 
Hii mada yako haijadiliki kwa kuwa tayari umeingiza mtazamo wa dini ndani yake...

La hasha watakaoweza kujadili ni hao wa dini uliyoibambanua katika maandishi yako hapo juu...

Wataweza kufanya hivyo kwa kuwa ndio waelewa wa nini walichoelekezwa katika vitabu vya Imani yao...

Sisi wengine ngoja tuwe wasomaji tu....

My besti Mkuu well said !!
 
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu ninacho kiabudu,. Kwahiyo kila mmoja anaabudu anachokiabudu)

Sasa hapa narudi kwenye uzi,. mwanaume , mwanamke mmoja hakidhi haja za matamanio yake. Ndio maana dini ya Uislamu, imemuagiza mwanaume aoe kuanzia wawili, watatu au wanne na huyo mwanaume Akiwa anahofia uadilifu basi aoe mmoja.

Kwahapo kimaumbile tulivyoumbwa unaona hali ya mwanaume ikoje

*** kidokezo kwa utafiti uliofanywa. kuwa na mke mmoja inafika wakati matamanio yanapungua au unakuta unakung'uta kimoja au viwili, thunalala zako, gemu halinogi kiviile.

Lakini ukiwa na wawili/watatu au 4i hizo nguvu sio mchezo siku tatu huku tatu kule, waacha wewe unakuwa more active hata wake zako wanaenjoy game dakika zote 90.

Haya tuende maoni yenu yana umuhimu.
Mhe. king " hiyo ni hiyari ya mtu (mwanaume) mwenyewe siyo lazima au kulazimishana , Binafsi Mmoja anatosheleza na mechi hunogea !! ila "ME" wapo tafauti !!
 
Kumbe tunaoa ili tukidhi matamanio tu??
halafu hilo love unaligawanya vipi kwa hao wanne!
mm nashindwa kuelewa unawapendaje wanawake wanne kwa wakati mmoja?? au ni ku watamani tu lakini hakuna upendo??
kuepuka zinaa ni bora tuoe

Kila siku unakwepa maswali yangu! But leo nimekuja na fimbo hapa! Usipojibu nakuchapa!
Teh teh teh! Utani tu!
...
Yap! Generally me mmoja anamtosheleza ke m1 hata wa3!
Sema inategemea na me mwenyewe! Hawa viepe mayai hawawezi hilo!
...
But ke mmoja hawezi kutosheleza me zaidi ya mmoja! Yes! Haiwezekani ke agongwe vitatu na baada ya saa moja agongwe tena! Unalo?!!!
is there scientific proof for that?? wanakuwa hawaja 'recharge'
 
Back
Top Bottom