Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Basi la Kampuni ya Safari njema lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Dar es Salama. Limegongana na Lori katika eneo la Kimara Stopover.
Hasara bado haikafahamika.
=======
Hasara bado haikafahamika.
=======
Kuna ajali mbaya sana imetokea hapa eneo la Suca Mbele kidogo ya stop over ikihusisha lori na Basi T 990 ADF liitwalo Safari njema linalofanya safari zake kati ya Dar na Dodoma linaungua. SASA hivi yanaungua na watu waliokuwemo ndani.
Mtu mmoja amefariki na wengine 20 kujeruhiwa.
View attachment 426700