Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto

Walisema wamedhibiti mwendo kasi ili kuepusha ajali sasa sijui hii nayo dereva ali over speed!!!?!?!?
 
Yaani kuna foleni balaaa mungu wapokee viumbe wako ulio waita
R.I.P
 
Hii ishakuwa proved sasa na sio raha kuendelea kuandika RIP kwa vifo ambavyo vingeliepukika.
Tujikite kwenye kutafuta chanzo cha akili za madereva kuwa hivi, je, ni frustration za faini za barabarani!?
Ni kukosa ujira stahiki?
tatizo ni kubwa na tukubaliane kabisa kimsingi kuwa waliofanya utafiti wa '4:1' haujapingwa hadi sasa na kibaya zaidi hawakutwambia ni nini kinasababisha hiyo hali.
Hii barabara naamini ina alama zote na hata kama kuna mapungufu basi ni madogo hivyo kufanya ajali kuepukika.
Poleni sana but mabasi makubwa ya masafa wana kiburi sana wawapo barabarani
Hawa madereva wa mabasi akili zao sijui zikoje? Sasa kashafika mjini papara za ku overtake hadi kusababisha ajali za nini?!!
 
Unafikiri ni umasikini wetu basi? ni wa viongozi wetu. Kwa rasilimali tulizonazo hatutakiwi kuwa jinsi tulivyo sasa. Shame on them. Barabara hiyo hiyo malori ya mizigo hiyo hiyo malori ya wide road daladala pikipiki bajaji...eeh.
Kwahiyo suluhisho unashauri kipi kifanyike!
 
Back
Top Bottom