Kimara, Dar: Basi likitokea Dodoma lagongana na Lori; magari yateketea kwa moto

Unafikiri ni umasikini wetu basi? ni wa viongozi wetu. Kwa rasilimali tulizonazo hatutakiwi kuwa jinsi tulivyo sasa. Shame on them. Barabara hiyo hiyo malori ya mizigo hiyo hiyo malori ya wide road daladala pikipiki bajaji...eeh.
Tuepuke visingizio vya kipuuzi puuzi.. Tunaweza kutumia vibarabara hivi vilivyopo na tukaendesha migari yetu kwa ustaarabu bila na tukaepusha ajali hizi za kibinaadamu kabisa!
 
Inasikitisha Sana ajali hii
R.I.P
edae589b348ec35b42d9bb523bae4d45.jpg
99b99f8265ad2c1342e6be9375765135.jpg
cbf563af80ee54dd42518fc04947774f.jpg
ea42982ba82f67b352f2f6d65db4670e.jpg
 
Mpango wa kupanua barabara hadi chalinze ni muhimu sana.Madereva wengi wanatoka safari ndefu ,lakini wanakuja pata ajali wakati wana kilometa chache kufika kituo cha mwisho!
 
Back
Top Bottom