Kima cha chini cha mshahara kwa CPA(T) without experience

Kima cha chini cha mshahara kwa CPA(T) without experience

nimegundua humu watoto wengi sana.

na wengi wenu hamjawahi kuajiriwa kwenye corporates na kuona mfumo wa formal sector ulivyo.

sikilizeni kwa makini vijana. msijidanganye.

mshahara haupangwi kutokana na elimu uliyonayo. bali unapangwa kutokana na position scale.

hata kama wewe ni profesa. kama kwenye kampuni ukipangiwa kufanya kama secretary wa bosi. basi utalipwa mshahara wa level ya secretary wanavyolipwa.

hata kama wewe ni darasa la saba. kwenye kampuni ukiajiriwa kama ceo.. hapo utalipwa mshahara kwa scale ya ceo ilivyopangwa..

ukiwa bank teller hata uwe na master, cpa sijui phd.. utalipwa kwa scale ya bank teller.

inshort mshahara unapangwa kutokana na cheo ulichonacho. au kazi unayoifanya salary scale yake ni shilingi ngapi.

Hata kama ni bank teller , ukiwa na cpa inatakiwa ulipwe tofauti na other bank tellers..am not in the banking sector but that's the way it is in my orgz. .nataka niwape moyo vijana , cpa is a professional qualification, piga ua garagaza as far as accounting is concerned itaendelea kupanda chati tu. ..the most important thing is experience. .kama ndo unaanza ajira with your cpa, vumilia for only 2 years upate experience utaona matunda yake..waambie u want to quit utaona wanavohaha
 
CPA bila experience ni shida kupata kazi kwa haraka. Nina CPA nimepata last year, nina experience ugumu wa kupata kazi, baadhi ya medium audit firms huwa haziwataki watu wenye CPA maana hawakai zaid ya mwaka bila ku resign na kutafuta kwenye maslah zaid..... so ka imekuwa kikwazo kuwa na CPA with no experience
 
Serikarini CPA holder atalipwa kwa kufuata scale za serikari, kwingineko ni makubaliano, ukikubali hela ya dagaa imekula kwako
 
CPA bila experience ni shida kupata kazi kwa haraka. Nina CPA nimepata last year, nina experience ugumu wa kupata kazi, baadhi ya medium audit firms huwa haziwataki watu wenye CPA maana hawakai zaid ya mwaka bila ku resign na kutafuta kwenye maslah zaid..... so ka imekuwa kikwazo kuwa na CPA with no experience


unakosaje braza kazi na watu tuko elfu 6000 tanzania nzima. Apply big 4 hizi wanakuchukua
 
CPA ni kama Agronomy hivi, ukiwa na experience ya 3 -5 years baasi gross hukosi 3 million and above.. ila kama ni kajunior agronomy or cpa holder huna hata 2 years experience hapo lazima wakubane.
 
Big 4 ndo mana wanakuja vyuoni kuchukua mapema vigraduates vkiwa havna ata CPA had upate unakua ushatumika vya kutosha
 
dah!hata kama cpa haina ladha sana cku hzi but ni dhambi kuifananisha na marketing,kozi ambayo unaweza kuisomea hata ukiwa bar
Hizi kejeli zako ndo huwa nakupendea we binti Ni Ukweli Kumbuka CPA unakabidhiwa Muhuri na Board
 
CPA kukosa ajira/Experience ni Ufala wake Big 4 zinawachukua Kuanzia Waliomaliza Intermediate masomo mengine utamalizia huko huko!
 
hebu acheni utoto jamani siku hizi demand ya CPA imeshuka sana tofauti na zamani,nawajua CPA Holder kibao bado wapo kitaani wanabangaiza tu,miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kukuta halmashauri kuna hawa watu ila siku hizi wapo tele wamejaaa.
pia mshaara unategemeana na kampuni inatengenezaje faida hasa huku kwenye private sector ila serikalini unaweza ukapigwa TGS D,PGS 12-14 nk hii ni kwa wanaoanza kazi bila uzoefu

Hapo umenena mkuu,siku hizi hakuna cha CPA wala nn ni msoto kwa kwenda mbele na makampuni yanatofautiana scale za mishahara,iyo mambo ya generalization ya mishahara ni serikalini tu na ukiendelea kusubilia kazi za CPA unaweza kudoda bure coz wako kibao mtaani,km unahitaji kuajiriwa anza na kilichopo ukishakuwa na experince kidogo u can demand more,especially kama hujawahi fanya kazi kabisa acha mbwembwe saka experience kwanza.
 
CPA kukosa ajira/Experience ni Ufala wake Big 4 zinawachukua Kuanzia Waliomaliza Intermediate masomo mengine utamalizia huko huko!
Vipi. hivi huko serikalini wenye CPA hawakuwepo kuweza kudetect mishahara ya wafanyakazi hewa 17,000!?
Nadhani kuna haja ya kutafuta mechanism mbadala kuliko kutegemea hivi vyeti ambapo vingine ni feki!
 
...swali kidogo, CPA(T) holder anakadiriwa kuproduce kiasi gani kwa firm katika huo mwezi?
Sure swala ni uwezo wako wa kufanya kazi maana wako mpaka maprofesor ambao ni fyenge tu.
 
Back
Top Bottom