Fundi el makro
Member
- Dec 20, 2013
- 79
- 11
Naombeni mnijuze kama mtu ni CPA(T) without experience ukiajiriwa kwenye hizi big4 auditing firms kima cha chini cha mshahara ni Tsh ngapi????
Naombeni mnijuze kama mtu ni cpa(t) without experience ukiajiriwa kwenye hizi big4 auditing firms kima cha chini cha mshahara ni tsh ngapi????
Nasikia wanalipwa milioni 3....ni tetesi tu
isipungue 2.5m kwa mwezi....
wasikupige chini ya 2mil kama hali ni mbaaaaya kabisa
...swali kidogo, CPA(T) holder anakadiriwa kuproduce kiasi gani kwa firm katika huo mwezi?
isipungue 2.5m kwa mwezi....
hiyo ni basic ama take home
Kuna mtu yuko pwc basic ni 1.5 milion.
thanx kwa info mkuu
Sasa hivi msoto msoto kuna watu kibao wenye CPA ila bado wanatafuta ishu....na hii inakuwa nice opportunity ya hawa mabepari kukaza..
jifarijiWachache sana hawajaajiriwa
...swali kidogo, CPA(T) holder anakadiriwa kuproduce kiasi gani kwa firm katika huo mwezi?