The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,616
Sikufahamu ili kwasababu hapa nina stock ya kutosha nimehifadhi toka 2016 uncle Magu alipoanza kuzingua. Basi Maza atawale tu mileleJaman Si ndo wawekezaji wenyewe hao washaanza kuingia nchini au hamkumuelewa Mama Samia?, serikali yenyewe ishasema inawatengenezea mazingira rafiki wawekezaji kutoka nje waje kuwekeza nchini, mi hakuna hata kilichonishtua hapo.
Kazi iendelee, Ccm mbele kwa mbele