Madawa yaliyo kamatwa yachomwe moto hadharani kuokoa nguvu kazi ya taifa.
mmmh hatari sana mkuu ila wafanyabiashara ya unga wana mbinu na akili sana kila siku wanabuni njia mpya za uingizaji nauuzaji ni hatari!Huo ndiyo usafirishaji wao wamekuwa wakitumia
Miaka ya nyuma unga watu walikuwa wanaingiza nchini kwa njia ya kumeza
Kuanzia miaka ya 2006 watu wakaanza
Kuleta kwa njia hii
Ova
Si ajabu wasishughulikiwe.Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Kwaiyo hao wamekamatwa chini ya utawala wa basha wako au??ke.nge ww,,uyo magu kafukueni mzoga wake muujaze upepo muuwabudu,, now rais ni Samia mb,uzi wwBaada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?
Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.
Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.
Sasa Magufuli hayupo simui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.
Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Huku hakukufai, rudi kwenye maudaku yakoTuliokua tunasema now hatuna raisi Naona mnaanza kutuelewa tu taratibu ... rest in power magufuli
Usikute mzigo ni wa msukuma mmoja ambae alikuwa kwenye syteam ya dictator mwendazakeKudadadeki haaaaaaaaa.Huu mzigo aliye uagiza si mtu mdogo kama ikiwezekana waminywe hao wapuuzi wawataje.
Hii biashara haikwisha kama tulivyokuwa tinaaminishwa na BASHITE bali ilikuwa inaendelea hasa ilikolea kipindi cha jiwe.Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita
======
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na kikosi cha wanamaji cha JWTZ imewakamata watu saba wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zaidi ya tani moja kwa kutumia jahazi. Dawa hizo zimekamtwa eneo la Kilwa Masoko mkoani Lindi.
View attachment 1762634View attachment 1762635View attachment 1762636
Kwaiyo uho mzigo wa wasukuma wenzio umekamatwa chini ya utawala wa basha wako,,Mama hana cheche tatizo linaanza hapo
Wacha kuleta uongo biashara hii ilikuwepo sana kipindi cha jiwe ila sema qiantity ndiyo inatisha tuBaada ya Mzee Magu kuondoka sasa watu wameamua kufanya dhihaka na zarau. Tani 2 kweli ndugu zangu?
Enzi za Magu watu kama hawa wangepotea wasijulikane wamepotelea wapi.
Wauza pembe za ndovu walipotea wengine walikimbia nchi. Ukikamatwa mbugani unahojiwa mtandao wako ukoje kisha unapotea na mtandao wako unapotea kuokoa tembo wetu.
Sasa Magufuli hayupo simui kama tembo wetu watapona, sasa twiga watapakiwa kwenye guta ama majaji mchana kweupe badala ya ndege.
Wauza madawa ya kulevya watarudi kwa nguvu kubwa, zile njozi za viatu zitaanza kuning'inia kwenye nguzo za umeme muda si mrefu kuonyesha location ya wauza madawa ya kulevya.
Huo ndio ukweli, usikute ungeenda kutua huko msumbiji kwa magaidiHizo ndiyo zina fund ugaidi Msumbiji, kule wanajidai wanasambaza uislam, nyuma ya pazia haya ndiyo wanayofanya.
Everyday is Saturday...............................
Kuwaonyesha nchi ipo imara ndio ivyo vyombo vyetu imara vya ulinzi vimewadaka,,bashite ajiandaeHuku ni kumpima Sa100.......yani saizi wanakuja tu wanaona kama nchi haina uongozi vile......Mama Sa100 waonyeshe hawa wajinga
Eti jamani??Tani mbili???
Misukule ya Magu iyo,kulijibu nikupoteza mudaWacha kuleta uongo biashara hii ilikuwepo sana kipindi cha jiwe ila sema qiantity ndiyo inatisha tu