Kilombero: Mwanamke ajifungua nje ya kituo cha Polisi baada ya kutolewa mahabusu

Sijui kwenye course zao wanasoma mtaala wa wapi, ni kama wanafundishwa unyama dhidi ya binadamu na siyo usalama wa binadamu. mambo mengine hata wanyama pori hawawezi kuwafanyia binadamu, naona hii ni laana sasa!!
Wapuuzi hao unaweza kuwa nao urafiki ukashangaa wamemkamata hata maza ako kwa kosa la kijinga kijinga tu, na wanapenda rushwa kweli kweli.

Wewe RAIA ukiwa naye urafiki, atamtuma rafiki yake mwingine usiyefahamiana naye na kukukamata.
 
Hawa porisi binafsi huwa siwaelewi,kwanza unamuwekaje mama mjamzito sero kama si unyanyasaji tu.
Haya wametimiza wajibu wao wa hapa kazi tu,mungu amsaidie huyo mama na kichanga chake!
 
Hawa porisi binafsi huwa siwaelewi,kwanza unamuwekaje mama mjamzito sero kama si unyanyasaji tu.
Haya wametimiza wajibu wao wa hapa kazi tu,mungu amsaidie huyo mama na kichanga chake!
Yaaani kama wachawi ...haihitajiki elimu ya chuo kikuu "" kuweza kumtambua " mama mjazito aliyefikia hatua ya Karibu na kujifungua....huwa ana kuwa amechoka mnooo"" halafu sababu zenyew zilizofanya mpaka wamshikilie ni zakipuuzi yaani kitanda kimeshakuwa na thamani kuliko uhai wa mtu ..."" My foot
 
Hi
Sijui kwenye course zao wanasoma mtaala wa wapi, ni kama wanafundishwa unyama dhidi ya binadamu na siyo usalama wa binadamu. mambo mengine hata wanyama pori hawawezi kuwafanyia binadamu, naona hii ni laana sasa!!
ki

Hiki kituo hakina dawati la jinsia?
 
Hivi kipindi kile kasusura ameiba je mkewe au mama yake walikamatwa??
Je wanasheria mnisaidie kuna sheria ya kumkamata mtu mwingine kwa kosa la mwingine mpm umuweke mahabusu?? au ni TANZANIA TU
 
Tumshukuru Maulana, mama na kichanga wamepona. Sijui askari alioneshwa kichwa kwanza ndio akamtoanje!! Nawaza tu jinsi huyo mama alivyoliaaaa hadi huyo polisi wa zamu akamhurumia. Jina la kichanga aitwe; Kapolisiii.
 
Hivi kipindi kile kasusura ameiba je mkewe au mama yake walikamatwa??
Je wanasheria mnisaidie kuna sheria ya kumkamata mtu mwingine kwa kosa la mwingine mpm umuweke mahabusu?? au ni TANZANIA TU

Nami nikuulize swali la kibazazi tu; Mfano ukiambiwa hakuna sheria hiyo, utafanyaje?? Jiulize; Umesikia lini serekali ikashitakiwa kwa uzembe wa watendaji wake?? Mola apishe mbali usiangukie uzembe wa watendaji. Hakuna fidia, hakuna hatua. Ni wewe kuugulia maumivu yako tu.
 
AISEEEE "" ukitaka kujijua kuwa hauna dhambi ....basi fuatilia matendo ya police wa Tanzania....sasa angekufa hapo nje "" wange waambia nini watanzania ""....... Aiseee rasmi leo nimeona uzito wa ile kampeni ya kusaidia mama mjamzito inayofanywa na wizara ya AFYA ....."" police wa Tanzania "" ni wachawi "".....
Labda kampeni hiyo haiwahusu polisi
 
Back
Top Bottom