mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 764
Hii imeandikwa instagram na Le Mutuz aliyepata mtonyo kuwa TBL wameambiwa wakae pembeni. Inabidi usome viambatanyisho hapa kupata habari zaidi
Hii inasikitisha kuwa BASATA wanafanya haya mambo. Ni kweli majaji hawatakiwi kuwa na ukaribu wowote na wasanii wanaoshiriki.
Inabidi wafikirie tena hao KILI awards kwa kuachia haya mambo yafanyike kwa kutumia jina lao na kukubali haya.