Killi Awards yaingiliwa na BASATA kuchagua Majaji

Killi Awards yaingiliwa na BASATA kuchagua Majaji

Mbona sioni tatizo?kwa hiyo mlitaka hata mwimbaji bora wa taarabu awe diamond? Acheni ushamba aisee!! Majaji walikuwepo kuhesabu kura zilizopigwa.Sijui nini kinawakera na kama ni tuzo hata huyo jamaa yenu kapata.
 
Shati lavitz.. Hana ishu. Kazi kujifanya anajua kila kitu kwenye sanaa. Na leo ndo ataandika mpaka adode. Kila mtu anajua yeye ni team mondi.. So namshauri tu akubali matokeo.
 
attachment.php
 
Back
Top Bottom