Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

Naomba kujua jinsia ya Yeriko na kama ni mwanamke si bure unamtaka huyu mzee wa watu,Usione watu wamevaa suruali mjini ukadhani wote ni wanaume wengine mabahasha wa chini chini kama wewe.Idiot
 
Last edited by a moderator:
Naomba kujua jinsia ya Yeriko na kama ni mwanamke si bure unamtaka huyu mzee wa watu,Usione watu wamevaa suruali mjini ukadhani wote ni wanaume wengine mabahasha wa chini chini kama wewe..PIMBI wewe,Idiot
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ngongo, nimeupitia, I honestly have an opinion, hutu jamaa sio mzima upstairs!.
Pasco

Nimeelewa sasa
------------------------
Mkuu Ngongo, nimeupitia, I honestly have an opinion, hutu jamaa sio mzima upstairs!.

Pasco
 
Hakika damu za watu zilizomwagika kwa hayo mabodaboda yake, atazilipia, vijana wenzangu, tuliishawatahadharisha mapema, hakuna mtu aliye salama chini ya kiongozi wa ccm, mmeona mambo yanayotokea sasa, huyu anatafuta urais kwa kuwahonga pikipiki, mnapoteza maisha na kuwa vilema, huku wengine wanaanza kuwafukuza msizitumie, wote ni ccm, badilikeni vijanana wenzangu, tujikaze kipindi kifupi hiki, mkombozi wetu ni CHADEMA, tuungane tuongeze nguvu tulikomboe taifa.
 
Naomba kujua jinsia ya Yeriko na kama ni mwanamke si bure unamtaka huyu mzee wa watu,Usione watu wamevaa suruali mjini ukadhani wote ni wanaume wengine mabahasha wa chini chini kama wewe..PIMBI wewe,Idiot

Pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Nakazia maneno, wewe ni muuaji na lazima nawe ufe tena ufe tukusahau kabisa kama Alvov Mejavic,

Miezi sita iliyopita ulijitwalia kwanguvu umiliki wa wana BODABODA katika ardhi ya Tanganyika bila hata kupitia PPR ama mbadulaluvanza, ukawajaza ujinga, ukawateka wakatekeka na ukawaambia wewe ni alfa na omega,

Leo serikali ya chama chako imekupiga ngwara, imechora mstari kwa bodaboda kuiona pepo ya mjini daslam, ndio hawatakiwi kula baga posta wala kuona vimini samora, umewanyima haki yao yamsingi yakustarehesha macho na roho zao,

Sasa wanalia kilio cha mbwa mwizi meno yote thelathina nje mbili. Hawajui wapeleke wapi hizo bodaboda, wapo wanaofikiria kuhamia Monduli huenda huko kukawa na unafuu maana nasikia wewe huko una jamhuri yako na utakuw rais wa Malaigwanani huko,

Tabia hii yakusaka umaarufu kwa nguvu utailipia tu utake usitake, na malupo yake ni kifo kama ulivyoua machipuzi ya makinda hawa wengi wao waliosoma shule za kata, umesababisha Muhimbili ifurike antena za vilema kwasababu yakusaka sifa zako,

Umewanunilia bodaboda huku ukijua sera ya chama chako haiwataki mijini?? Kweli wewe hufai hata kuwa mwenyekiti wa kwaya ya kanisa langu langu la Marastafari,

Nasema tena utalipa kwa kifo kitakatifu kabla ya 2015, kilio cha mnyonge kinabaraka za Jah.

Nyie vijana wa bodaboda, Chadema ndiemkombozi wenu kwa sera yake nzuri ya ajira kwa vijana, unganeni kuikomboa nchi dhidi ya majitu mumiani kama Edward Ngoyai Lowassa.

kwa vyovyote vile una matatizo kwenye ubongo wako au utakuwa ulibemendwa.yani kwa kifupi we ni taahira.
 
Dah! siamini kama hamjui baadhi ya waliojikwamua wao na familia zao kupitia hicho mnachokiita laana, sasa naona MMEJIVIKA UMUNGU MTU MNATAKA KUJARIBU KUAMUA NANI AFE NA NANI AISHI, angalie msije mkatangulia Sir God is not Mwafilombe au Mwasakafyuka to play with.
 
Huyu dawa yake nikumkameroon ndo atatulia manina zake
 
Mkuu Ngongo, nimeupitia, I honestly have an opinion, hutu jamaa sio mzima upstairs!.
Pasco

Pasco NAKUTOA HUKO ULIKOJIFICHA!nimegundua unavomuogopa kamanda Yericko, mbona unajibu uzi kwa maandishi sijui ni honeydew hiyo au white fonts? ha,hah,haaaa, acha uoga wa kujificha gizani banaaaaaa, toka tuone mavoko yako!!!!!!!!!!!
 
Naomba kujua jinsia ya Yeriko na kama ni mwanamke si bure unamtaka huyu mzee wa watu,Usione watu wamevaa suruali mjini ukadhani wote ni wanaume wengine mabahasha wa chini chini kama wewe.Idiot

ukitaka kujua jinsia ya yericko nenda kimboka bar usiku utamkuta na kimini chake anasubiri wateja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom