Mafanikio huongeza marafiki, maadui na wapumbavu.Wakwe zake wenye asili ya uchifu wali mpambania mpaka aka ulamba ubunge, alivyo upata aka waona mafala.
miksa dharau nyingi, ali ambiwa jua la mchana haliwaki usiku.
Ni shemeji yangu fala huyu wa tabora.
Katika siku ambazo umeandika ukweli ni leo. Na ndiyo maana nchi iko hapa ilipo. Mtu kama Abdul akiku-mind hata kama wewe ni kiongozi mzuri vipi basi utaondolewa. Kigwangala ni wale wale tu hana tofauti na Makonda au Kibajaji shinda ni kuwa ametupwa nje ya ulaji. Mpaka nchi itakapota viongozi wazuri na siyo mazuzu kama Samia ndiyo tunatatoka hapa tulipo.Hamis alijisahau. Kwenye hizi wizara kuna watu hawana umaarufu wala elimu kubwa ila wanaweza battle na waziri na huyo waziri akang'oka.
Miradi mingi inashindwa kujiendeshaMbona huu jamaa alikuwa tajiri? Nini kimejiri mpaka aanze kulialia hivi? Ana chuo cha VETA, ana kiwanda cha kuchakata pamba, ana kiwanda pia cha kuchakata mpunga sasa shida ni nini hasa? Anajidhalilisha aisee!
Tapeli huyo, anapiga kelele za nini huyu mtu alisema ubunge sio ajira ni kujitolea na utajiri upo katika kujiajiri nje ya box sasa analia nini?
View: https://x.com/i/status/1884280744698413328
Wanarudi Tena kwa kishindo na mazawadi kibao!There are no permanent friends or enemies, only permanent interests..
Ikitokea siku akateuliwa watarudi kama mwanzo.
Utashangaa hata Chura akitolewa Lucas atamgeuka kabisa
DaaaaThere are no permanent friends or enemies, only permanent interests..
Ikitokea siku akateuliwa watarudi kama mwanzo.
Utashangaa hata Chura akitolewa Lucas atamgeuka kabisa
Good kwamba amekuwa honest na ame-share huu uzoefu, japo ni kitu obvious.Umesema kwa uchungu sana mkuu. Kuna la kujifunza hapa.
Mwandishi ni mtu wa karibu wa mlalamikaji
Nimesikiliza video ya Mh Kigwangwala nimecheka sana
Huyu alikua Rafiki yangu sana kabla hajawa Waziri. Hata alipokuja London mimi ndio nilikua mwenyeji wake na nilimpokea kwa heshima sana yeye na kamati ya Bunge aliyokua akiongoza
Alipoteuliwa kua Waziri Wizara ya Afya mimi wakati huo nilikua namuuguza Mama Mkwe wangu aliekua akiumwa Ugonjwa wa Kansa. Kwa uchovu wangu nilikua nashindwa kupata kitanda pale Ocean road hivyo nikampigia simu kumuomba msaada nipate kitamda ili Mama Mkwe wangu ahamishiwe pale kutoka Muhimbili. Huwezi amini huo ndio ulikua mwisho wa mawasiliano yetu na akanipiga bloku. Iliniuma ila nikapotezea nikakomaa kigumu kuugua mgonjwa wangu
Jamaa alipotumbuliwa mara ghafla akaanza kunitafuta. Mimi sijawahi mbloku ila hua sijibu simu wala meseji sababu naogopa nitampa ukweli wake
Najua inamuuma sasa kwa sababu hajui na sasa anajua, ila hii ndio tabia ya Wanasiasa wengi wakiishateuliwa hua wanapotezea marafiki na kuwaona kama nuksi.
Anyway. CHEO NI DHAMANA. What goes around comes around …
View attachment 3573616
Saa hizi anayo kampeni ya kufuta tweets zake fulani ambazo kwa wakati huo aliandika akiwa kwenye meza iliyojaa vyakula zilijaa dharau na majigambo sasa anaona zitamhukumu hivyo kafuta tweeta nyingi sana.Ogopa Mungu na tech😂
Hataweza kuzimaliza zote watu wanazo tayariSaa hizi anayo kampeni ya kufuta tweets zake fulani ambazo kwa wakati huo aliandika akiwa kwenye meza iliyojaa vyakula zilijaa dharau na majigambo sasa anaona zitamhukumu hivyo kafuta tweeta nyingi sana.
Mwandishi ni mtu wa karibu wa mlalamikaji
Nimesikiliza video ya Mh Kigwangwala nimecheka sana
Huyu alikua Rafiki yangu sana kabla hajawa Waziri. Hata alipokuja London mimi ndio nilikua mwenyeji wake na nilimpokea kwa heshima sana yeye na kamati ya Bunge aliyokua akiongoza
Alipoteuliwa kua Waziri Wizara ya Afya mimi wakati huo nilikua namuuguza Mama Mkwe wangu aliekua akiumwa Ugonjwa wa Kansa. Kwa uchovu wangu nilikua nashindwa kupata kitanda pale Ocean road hivyo nikampigia simu kumuomba msaada nipate kitamda ili Mama Mkwe wangu ahamishiwe pale kutoka Muhimbili. Huwezi amini huo ndio ulikua mwisho wa mawasiliano yetu na akanipiga bloku. Iliniuma ila nikapotezea nikakomaa kigumu kuugua mgonjwa wangu
Jamaa alipotumbuliwa mara ghafla akaanza kunitafuta. Mimi sijawahi mbloku ila hua sijibu simu wala meseji sababu naogopa nitampa ukweli wake
Najua inamuuma sasa kwa sababu hajui na sasa anajua, ila hii ndio tabia ya Wanasiasa wengi wakiishateuliwa hua wanapotezea marafiki na kuwaona kama nuksi.
Anyway. CHEO NI DHAMANA. What goes around
Ameongea kinyonge sanaHataweza kuzimaliza zote watu wanazo tayari
Huyu watu wake wengi wa karibu aliwatupa alipokuwa kwenye channel 😄Ila ana akili ndogo sana huyu jamaa angekaa kimyq tusingejua upumbavu wake