Kilindi, Tanga: Watu watano wauawa kwenye mapigano ya Wakulima na Wafugaji

Mi yangu ya Kabudi cha mtoto linatoka linarudi. We tumacho twako tudogo kama twawachina? Mpaka unaona ya IGP makubwa kuliko yako?
Kwa hiyo mwanangu ukipiga chafya ukabumba mdomo macho yanaweza kuchomoka sio πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³
 
Lakini huwa nasikia usalama wa taifa wamejaa kila kona ya nchi mpaka vijijini. Ilikuwaje huko mpaka mapigano yanaanza, vyombo vya ulinzi na usalama hawajapata taarifa? Au haihusiani na usalama wa nchi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kama Alishindwa KUJIUZULU kwa MO DEWJI KUTEKWA na ATATOA UONGO MWINGI hawezi KUJIUZULU kwa hili la mtwara

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ajiuzuru! Kwan ziro ni mtu wa pwan? Wanaoweza kujiwajibisha na kujiuzur ni watu wa pwan tu, km mwinyi enzi akiwa wazir mambo ya ndan alijiuzur usifananishe na hii kitu ya baraο΄Ύmaraο΄Ώ utasubir sana
 
Ajiuzuru! Kwan ziro ni mtu wa pwan? Wanaoweza kujiwajibisha na kujiuzur ni watu wa pwan tu, km mwinyi enzi akiwa wazir mambo ya ndan alijiuzur usifananishe na hii kitu ya baraο΄Ύmaraο΄Ώ utasubir sana
Mkuu kwani yule Mnazareth- Mgalilaya anayemjua mke wa Masihi naye ni wa Pwani?
 
Hili suala la Mauaji ya Wakulima na wafugaji,
Tukiacha kutumia sheria tukaanza kutumia utashi na kujaribu kufurahisha watu kisiasa , shauri yenu !!1
 
Wenyeviti wa Vijijini,na kata na mkuu wa Wilaya kwa nini muruhusu wafiugaji kuja na mifugo maeneo ya wakulima kwa kisingizio cha ukame?

Kwa nini mnaruhusu ufugaji wa kishenzi kama huu?
 
Bunduki wamezitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…