Kilimo kwa njia ya mtandao

Wakuu salam, kuna mtu kanisimulia kuhusu kampuni inayofanya kilimo kwenye mtandao.kwamba unatuma hela wao wanalima na kushughulikia mazao,yakiwa tayari wanauza unapewa hela yako,je ni kweli? Au ni jamii ya akina DECI ?

Naomba mwenye ufahamu zaidi anijulishe.Jamaa aliyeniambia anaanza kushawishika kujiunga nao,mimi napata mashaka na hii kitu.

Karibuni wakuu.
motivational speakers....jiandae kupigwa za uso
 
Back
Top Bottom