Kilimo, jeshi na computer yawe masomo ya lazima

Broo kwanza nikusaidie kitu kimoja hizo log huwezi kuziona kwa macho ya kawaida ila kwa watu wa data science , machine Learning , big data analytics utajua nini maana ya log inatumika pia huwezi ondoa jumlisha au toa nk....kwenye computer lazima utaziappply tu sehemu then......
Nikwambie tu mathematics inakufanya kichwa chako kifikirie zaidi ukiwa una solve hesabu au coding kuhusu hesabu usiiguse kabisa..kila kitu kwenye ulimwengu wa technology lazima ujue namba una apply hesabu kwa kutumia computer nazani umenielewa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…