Sijazungumzia kuondolewa kwa hisabati nlichokisema haina haja ya kuwa somo la lazima isipokuwa kuwa somo la kawaida kuanzia chekechea hadi sekondari au vyuo. Lakini hii inamaana kuweo kwa combination hizo secondary na vyuo. Natolea mfano ikiwa mwanafunzi anataka kwenda kusomea md chuoni, tcu ikaelekeza kuwa lazima awe na ufaulu wa alama B YA MATHEMATICS huyu hajalazimishwa kusoma mathematics automatically? ?
Je mathematics inamaana gani ikiwa hakuna topic ya BINARY na CODING Ambazo hesabu zinazoendesha dunia yote.
Logarithim, pai, radical zinafaida gani mtaani kwako na maisha yako kwa ujumla.
Leo tuondoe kujumlisha, kuzidisha, kugawanya na kutoa tuache hizo log, radicals na exponents niambie zinakusaidia kitu gani
Tunawezaje kuacha coding na binary ambapo simu, comouter hadi earphone za bluetooth zinatumia binary na coding tunalazimisha mtu kusoma radicals na exponents na sisi tunasema tunalijenga taifa