Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 728
- 1,214
Akili huna kabisa eti hisabati liondolewe kuwa somo la lazimaIla ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari
Shida sio uweke somo gani, shida mfumo wa elimu inabidi uwe restored uanze upyaNisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa
Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na vyuoni hata anayesoma masters na phd kwa tanzania lazima hvyo vitu avisome.
Pili jeshi ningeliondoa pale form 6 na kuweka veta na iwe ni lazima kwa yeyote anayeenda chuo kikuu lazima awe na namba ya utambulisho kutoka veta.
Naamini hii itajenga taifa lenye watu wanaojua computer kwahyo sikubzote wako mbele ya muda, taifa lenye chakula muda wote ghalama ya chakula na teknolojia ya uzalishaji wa chakula itakuwa juu sana, taifa zima yeyote yule atakuwa ni mlinzi wa taifa na mzalendo wa kweli mafisadi na watu wenye mawazo ya kijinga kama akina mwijaku tutakuwa tumewaondoa lakini watu wote watajua kingereza na computer hivyo wataweza kung'amua maarifa mengi duniani kwasababu dunia yote ni english tu inayotawala na tutawezesha watu wetu kwenda mataifa mengine kwasababu language sio barrier tena
Sema ndo hvyo kidumu chama, zidumu fikra za nyerere, Samia mi5 tena na mwakani birthday ya raisi iongezewe bajeti iwe billion 5 na afanyie uwanja wa taifa. Ccm iendelee kutawala miaka 1234
Sasa hisabati ilikuwa inamshinda, kila siku akijitahidi alikuws anapata 0.5%, unategemea apendekeze hisabati libaki?Akili huna kabisa eti hisabati liondolewe kuwa somo la lazima
Wew jamaa sasa hesabu na computer si ni kitu kinafanya kazi pamoja yaani uondoe mathematics au hujui kila kinachoendeshwa na computer ni matokeo ya hesabu chunguza zote zinatumia logicNisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa
Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na vyuoni hata anayesoma masters na phd kwa tanzania lazima hvyo vitu avisome.
Pili jeshi ningeliondoa pale form 6 na kuweka veta na iwe ni lazima kwa yeyote anayeenda chuo kikuu lazima awe na namba ya utambulisho kutoka veta.
Naamini hii itajenga taifa lenye watu wanaojua computer kwahyo siku zote wako mbele ya muda, taifa lenye chakula muda wote ghalama ya chakula na teknolojia ya uzalishaji wa chakula itakuwa chini sana, kwasasa tunahangaika na wachina wanauza mf mchele elf1 ila mtanzania 3400, sasa tunawafukuza wakati kwao teknolojia ya kuzalisha mchele kwa wastani wa kilo 1 anatumia sawa na Tzs200 (mia2) akiuleta tz na kuuza kwa elf1 ana hasara gani, sasa sisi tunawaona wabaya wakati tunalimia jembe la mkono tunatumia ghalama ya wastani wa 2700 kuzalisha kilo 1 ya mchele,
Ok tuendelee. Taifa zima yeyote yule atakuwa ni mlinzi wa taifa na mzalendo wa kweli mafisadi na watu wenye mawazo ya kijinga kama Wasila, mwijaku sijui baba levo tutakuwa tumewaondoa automatically bila shuruti yoyote lakini watu wote watajua kingereza na computer hivyo wataweza kung'amua maarifa mengi duniani kwasababu dunia yote ni english tu inayotawala na tutawezesha watu wetu kwenda mataifa mengine kwasababu language sio barrier tena
Sema ndo hvyo kidumu chama, zidumu fikra za nyerere, Samia mi5 tena na mwakani birthday ya raisi iongezewe bajeti iwe billion 5 na afanyie uwanja wa taifa. Ccm iendelee kutawala miaka 1234. Sisi tunawaza kutawala tu na kupiga kula baaasi, unafiki wa kutosha na kuua ushindani badala ya kuboresha mifumo yetu. Kwa mfano hv raisi anasimama kusema tununue engine za dizeli tufunge kwenye treni tuendeshe tren ya umeme kwa dizeli sakati dunia inaachana na mambo ya mafuta kwaaajili ya kuhifadhi hali ya hewa. Inawezekanaje waziri kabisa wa nchi anaongea kwenye media kununua umeme ethiopia wkt tunaumeme hadi gas. Nashindwa kuelewa kauli ya waziri mkuu wasomi wakasomee ufundi badala ya kusomamia mambo yaende
Utashangaa waziri wa elimu ana certificate, waziri wa mawasiliano kasomea law, waziri wa mambo ya nje kasomea elimu. Halafu tumekaa taifa tunasubiri tuendelee. Tutaendelea vipi wakati hata waziri wa elimu hajui kuwa kuna extra curriculum, Waziri wa sheria hana katiba nyumbani kwake. Waziri wa ulinzi hata darubini hajui inatumikaje ndio tunamtegemea alifanye jeshi letu la kisasa. Hii nchi tukikaa kusubiri mungu ashuke nafikir tutachelewa sana mana itabidi aache kuendesha dunia na kuhakikisha gravitation force inafanya kazi vizuri aje aangahike na sisi
Mkuu pi ni muhimu sana kaka,hata hizo logarithm n muhimu sana,ukiona we haikusaidii si kila mtu haimsaidii,sisi wahandisi ukisema pi na log au radical hazina umuhimu tunabaki kukushangaa….hata hao vijana unao wa waoa moyo waende veta(ufundi) kaz zao watafanya vipi bila hesabuSijazungumzia kuondolewa kwa hisabati nlichokisema haina haja ya kuwa somo la lazima isipokuwa kuwa somo la kawaida kuanzia chekechea hadi sekondari au vyuo. Lakini hii inamaana kuweo kwa combination hizo secondary na vyuo. Natolea mfano ikiwa mwanafunzi anataka kwenda kusomea md chuoni, tcu ikaelekeza kuwa lazima awe na ufaulu wa alama B YA MATHEMATICS huyu hajalazimishwa kusoma mathematics automatically? ?
Je mathematics inamaana gani ikiwa hakuna topic ya BINARY na CODING Ambazo hesabu zinazoendesha dunia yote.
Logarithim, pai, radical zinafaida gani mtaani kwako na maisha yako kwa ujumla.
Leo tuondoe kujumlisha, kuzidisha, kugawanya na kutoa tuache hizo log, radicals na exponents niambie zinakusaidia kitu gani
Tunawezaje kuacha coding na binary ambapo simu, comouter hadi earphone za bluetooth zinatumia binary na coding tunalazimisha mtu kusoma radicals na exponents na sisi tunasema tunalijenga taifa
Wewe umekariri Coding tu, hujui kwamba hiyo Logarithm inatumika kwenye machine learning, Cryptography, Hiyo Pie wakati watu wanatumia katika uendelezaji wa masuala ya Graphics na Games.Sijazungumzia kuondolewa kwa hisabati nlichokisema haina haja ya kuwa somo la lazima isipokuwa kuwa somo la kawaida kuanzia chekechea hadi sekondari au vyuo. Lakini hii inamaana kuweo kwa combination hizo secondary na vyuo. Natolea mfano ikiwa mwanafunzi anataka kwenda kusomea md chuoni, tcu ikaelekeza kuwa lazima awe na ufaulu wa alama B YA MATHEMATICS huyu hajalazimishwa kusoma mathematics automatically? ?
Je mathematics inamaana gani ikiwa hakuna topic ya BINARY na CODING Ambazo hesabu zinazoendesha dunia yote.
Logarithim, pai, radical zinafaida gani mtaani kwako na maisha yako kwa ujumla.
Leo tuondoe kujumlisha, kuzidisha, kugawanya na kutoa tuache hizo log, radicals na exponents niambie zinakusaidia kitu gani
Tunawezaje kuacha coding na binary ambapo simu, comouter hadi earphone za bluetooth zinatumia binary na coding tunalazimisha mtu kusoma radicals na exponents na sisi tunasema tunalijenga taifa
Kijana hajui simulations za kihandisi bila Pie, Logarithms haziendi.Mkuu pi ni muhimu sana kaka,hata hizo logarithm n muhimu sana,ukiona we haikusaidii si kila mtu haimsaidii,sisi wahandisi ukisema pi na log au radical hazina umuhimu tunabaki kukushangaa….hata hao vijana unao wa waoa moyo waende veta(ufundi) kaz zao watafanya vipi bila hesabu
Viwandani kuna fani inaitwa instrumentation bila hizi codes na logarithm ngoma haziendi….na Instrumentation kwa viwanda vya kisasa ni moja ya fani muhimu sana.Wewe umekariri Coding tu, hujui kwamba hiyo Logarithm inatumika kwenye machine learning, Cryptography, Hiyo Pie wakati watu wanatumia katika uendelezaji wa masuala ya Graphics na Games.
Usikariri kwamba kila kitu hakina matumizi ukiwa wewe hufahamu.
Computer na Mathematics ni pacha.
Vijana hawafanyi projects, wanasoma bila practicals wanahisi hakuna umuhimu. Algebra hizo, Logic, Statistics, Set.Viwandani kuna fani inaitwa instrumentation bila hizi codes na logarithm ngoma haziendi….na Instrumentation kwa viwanda vya kisasa ni moja ya fani muhimu sana.
Mleta mada sijui anatuonaje hapa jukwaani,huko jeshi (jkt) anapopaongelea huwezi pafanya kama somo,ile ni shule nyingine kabisa yenye masomo yake mengi tu,ndio maana ukawekwa muda maalumu wa watu kwenda kule…Kijana hajui simulations za kihandisi bila Pie, Logarithms haziendi.
Niliwahi mkatalia mtu mtaani alikua na mentality hii kama ya mleta mada kwamba hesabu za aina hio hazina mchango kwa jamii….nikampa mfano mdogo tu,anafahamu jinsi kona ya barabqra inavyokua tengenezwa,na kuna hesabu zikikosewa pale gari zitapata ajali sana.Vijana hawafanyi projects, wanasoma bila practicals wanahisi hakuna umuhimu. Algebra hizo, Logic, Statistics, Set.
Alaaniwe aliyeua JKT ya mujibu wa sheria kwa wote waliostahiliNisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa