Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 727
- 1,210
Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa
Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na vyuoni hata anayesoma masters na phd kwa tanzania lazima hvyo vitu avisome.
Pili jeshi ningeliondoa pale form 6 na kuweka veta na iwe ni lazima kwa yeyote anayeenda chuo kikuu lazima awe na namba ya utambulisho kutoka veta.
Naamini hii itajenga taifa lenye watu wanaojua computer kwahyo siku zote wako mbele ya muda, taifa lenye chakula muda wote ghalama ya chakula na teknolojia ya uzalishaji wa chakula itakuwa chini sana, kwasasa tunahangaika na wachina wanauza mf mchele elf1 ila mtanzania 3400, sasa tunawafukuza wakati kwao teknolojia ya kuzalisha mchele kwa wastani wa kilo 1 anatumia sawa na Tzs200 (mia2) akiuleta tz na kuuza kwa elf1 ana hasara gani, sasa sisi tunawaona wabaya wakati tunalimia jembe la mkono tunatumia ghalama ya wastani wa 2700 kuzalisha kilo 1 ya mchele,
Ok tuendelee. Taifa zima yeyote yule atakuwa ni mlinzi wa taifa na mzalendo wa kweli mafisadi na watu wenye mawazo ya kijinga kama Wasila, mwijaku sijui baba levo tutakuwa tumewaondoa automatically bila shuruti yoyote lakini watu wote watajua kingereza na computer hivyo wataweza kung'amua maarifa mengi duniani kwasababu dunia yote ni english tu inayotawala na tutawezesha watu wetu kwenda mataifa mengine kwasababu language sio barrier tena
Sema ndo hvyo kidumu chama, zidumu fikra za nyerere, Samia mi5 tena na mwakani birthday ya raisi iongezewe bajeti iwe billion 5 na afanyie uwanja wa taifa. Ccm iendelee kutawala miaka 1234. Sisi tunawaza kutawala tu na kupiga kula baaasi, unafiki wa kutosha na kuua ushindani badala ya kuboresha mifumo yetu. Kwa mfano hv raisi anasimama kusema tununue engine za dizeli tufunge kwenye treni tuendeshe tren ya umeme kwa dizeli sakati dunia inaachana na mambo ya mafuta kwaaajili ya kuhifadhi hali ya hewa. Inawezekanaje waziri kabisa wa nchi anaongea kwenye media kununua umeme ethiopia wkt tunaumeme hadi gas. Nashindwa kuelewa kauli ya waziri mkuu wasomi wakasomee ufundi badala ya kusomamia mambo yaende
Utashangaa waziri wa elimu ana certificate, waziri wa mawasiliano kasomea law, waziri wa mambo ya nje kasomea elimu. Halafu tumekaa taifa tunasubiri tuendelee. Tutaendelea vipi wakati hata waziri wa elimu hajui kuwa kuna extra curriculum, Waziri wa sheria hana katiba nyumbani kwake. Waziri wa ulinzi hata darubini hajui inatumikaje ndio tunamtegemea alifanye jeshi letu la kisasa. Hii nchi tukikaa kusubiri mungu ashuke nafikir tutachelewa sana mana itabidi aache kuendesha dunia na kuhakikisha gravitation force inafanya kazi vizuri aje aangahike na sisi