Hebu weka details watu walimeje?Ndo nataka nianze maana nimejionea kwa macho yangu watu wanapiga hela kama una uzoefu umwage hapa ndo maana nimeweka Uzi tujadiliane uzuri wa hicho Kilimo ukishapanda unaendelea na Mambo yako mengine no stress
Kapate shambadarasa kwanza usione mtu anapata faida ukajua rahisi. Kitakulamba.Ndo nataka nianze maana nimejionea kwa macho yangu watu wanapiga hela kama una uzoefu umwage hapa ndo maana nimeweka Uzi tujadiliane uzuri wa hicho Kilimo ukishapanda unaendelea na Mambo yako mengine no stress
Unawajua hao aliowataja?Kwa maelezo yako inaonekana una uwoga mwingi sana kwenye kuanzisha kitu. Watu wengi Wanafail kabla ya kuanza- Reginald Mengi (RIP)
Mmmh utajiri hauna makelele aseeMaparachichi ya kisasa kwa Sasa limekuwa zao kubwa sana la kibiashara wateja wanakufuata shambani
Maparachichi yanasafirishwa nje ya nchi mti wa parachichi unakaa miaka 60 yaani kama ilikuwa unafikiria ulime nini Lima parachichi la kisasa utakuja kunishukuru usije sema sijakuambiaa.
Hajasema hata utajiri upo kwenye nini kusindika,kuuza lenyewe na bei Gani?Bandiko la mwendo kasi hili, kisa utajiri vijana watatiririka kulima parachichi...π€£
Mambo aizatMmmh utajiri hauna makelele asee
Btw mkuu umeshatajirika kwa π₯?
Mbona nishasema wateja wakishajua una parachichi la kisasa nyumbani au shambani wanakufuata wenyewe huangaiki kutafuta soko parachichi moja la kisasa sh 3500.Hajasema hata utajiri upo kwenye nini kusindika,kuuza lenyewe na bei Gani?
Wewe unachanganya madawa mipango ya mtu binafsi ya maendeleo ndo haiitaji makelele mfano unajenga nyumba unamwambia kila mtu sio kila mtu anafurahia maendeleo yako we Jenga kimya kimya watu wataona tu mjengo.Mmmh utajiri hauna makelele asee
Btw mkuu umeshatajirika kwa π₯?
Sawa nitalima.Mbona nishasema wateja wakishajua una parachichi la kisasa nyumbani au shambani wanakufuata wenyewe huangaiki kutafuta soko parachichi moja la kisasa sh 3500.
Tanzaniaβs new "green gold."Hii Kama Mr Kuku, JATU, Vanilla Aina Zipo Nyingi
Hawa Watu Ukae Nao Tako Moja
Unaweza Kufa Chap
Unemsahau manguruweπHii Kama Mr Kuku, JATU, Vanilla Aina Zipo Nyingi
Hawa Watu Ukae Nao Tako Moja
Unaweza Kufa Chap