Lete hoja za kubainisha kuwa nimedanganya..Kuhusu Alizeti umedanganya Sana
Pili umefeli Sana kwenye matumizi ya lugha
Pamoja sana ndugu yangu Ali mohammedniko katika mchakato na Kijana wangu kutoka singida. yaani somo limekuja kuniengezea spidi. nimekupa kura. naomba nawe nipe kura yako ndugu
Ndugu Yangu kabla ya kuandika chochote jitahidi kutafakari unachokiandika..hizo gharama na shughuli zote ni kutokana na maeneo ambayo mimi nina ushahidi nayo kama nilivyoyaanisha hapo.Kuna Uongo au Upotoshaji katika habari hiii...Moja yawezekana wewe una shamba unataka ukodishe au wewe ni dalali au wale wanojiita Motivational speaker....
Vigezo vinavyosababisha nitie shaka
1. Kupalilia Heka moja nzima kea elf 10!
2. Kupanda Mpaka kuvuna heka kwa laki na 40...
haiwezekani...Heka inalimwa na Ngombe kwa siku 3 au hata 4 Ina maana unawalipa elf 5 kwa siku???
Kaka gharama ni za chini kulingana na sehemu nilipo, ukisoma vizur hiyo post bila shaka utaelewa..Gharama zako ni za chini sana kuliko uhalisia, bei yako ya mafuta kutoka shamba ni kubwa sana kuliko uhalisia. In fact nimenunua mafuta ya alizeti lita kwa shilingi 5500 hapa Dar, sasa iweje wewe shambani uuze kwa 7000?
Itoshe kusema hakuna uhalisia katika kilimo hiki. Tutarajie kuliko kwa atakayefuata mwongozo huu
Hekari moja ulivuna gunia ngapi?Nimelima alizeti japo sikufanikiwa vyema.
Kwenye gunia la kg 63 lilinipa lt15 za mafuta.
2 sikuzingatia mambo mengiHekari moja ulivuna gunia ngapi?
Je Heka 10 inatoa gunia ngapi za alizeti?Mm n mwenyej wa maeneo ya huku,weng tunalima zao la alzet kwa kuchanganya na mazao mengne Ktk shamb 1 kam mahnd,mbaaz,mtama karanga nk,ukichachanya mazao n rahsi kupata faida hata kama utakosa moj jngne litakubeba au hata kama zao moja bei ikiwa ndogo jingne ltakubeba mfano kwa mwaka huu mahind bei ipo chn lkn mbaaz kilo n 1500 alzet gunia linakaribia lak karanga gunia 40+
Gharama kwa shamba la eka 10
Kukodi eka 1@ 20,000=200,000
Kulima na trekta eka 1@ 25,000=250,000
Kupalia eka 1@ 20,000=200,000
Gharama za chakula
kwa wakazi na usafiri = 70,000
Japo hii itategemea na sehem ulipo wapata hao wakaz.ikiwa utawapata wakaz karibu na shamba gharam itakuw chn zaid ya hapo
Jumla ya gharama ni 720,000
Hapa sijaweka gharam ya mbegu maana hii nayo itategemea aina za mbegu utazotumia.weng huwa wanashndwa kumud mbegu za kisasa hvo hununua mbegu zilizolimwa msimu mmoja au miwili maan nazo hutoa mavuno meng
Kwa kulima mbeg za kisasa zlizotumika msimu mmoja hazitatofautiana na bei ya ya mazao sokon mfano kwa eka 10 kulima na trekta utahtaj
debe 4 za mahind 1@7,000=28,000
debe 2 za alzet 1@15,000=30,000
Mbaazi kilo 10 1@ 1500 = 15,000
Karanga kilo 20 1@2300=46,000
Jumla ya mbegu=119,000
Japo sio lazm kulima mazao yote na pia unaweza kuongeza
Jumla kuu ya gharama ni 839,000 kwa eka 10
Pia utaweka na ya emergence
Japo tuna mashamb meng lkn shamb la eka 10 ambalo linajtegemea limetoa mazao kama ifuatavyo gunia ktk ujazo wa debe 7Je Heka 10 inatoa gunia ngapi za alizeti?
Weka hesabu kuwa umechanganya mahindi na alizeti.
Hii ni kwa heka 10?Kilimo kumbe kigumu eeJapo tuna mashamb meng lkn shamb la eka 10 ambalo linajtegemea limetoa mazao kama ifuatavyo gunia ktk ujazo wa debe 7
Alizet gunia 25
Mahind gunia 13
Mbaaz gunia 15
Kunde gunia 7
Karanga gunia 4
Mahind tumekosa sana kutokana na hali ya ukame lakn mazao mengne yanavumilia ukame
Lkn ukiangalia hicho kipato kwa bei ya sasa ni zaid ya milion 6.japo kuna miaka mambo huwa magum lkn maisha yanasongaHii ni kwa heka 10?Kilimo kumbe kigumu ee
Ambayo ni sawa na laki 6 kwa heka 1.Lkn ukiangalia hicho kipato kwa bei ya sasa ni zaid ya milion 6.japo kuna miaka mambo huwa magum lkn maisha yanasonga