mwalimu mkweli
Member
- Dec 23, 2017
- 35
- 69
Yani kilimo chochote kile au biashara yoyote ile ukifeli vituvitatu utaanguka tuKwa mimi kulima hili zao kibiashara itakua ni last option nilijaribu nikaangukia pua hadi sasa yapo shambani.kilichoniangusha 1.msimamizi wa shamba
2.taarifa za mihemko + uongo
Msimamizi alinipiga mnooo kuanzia ununuzi wa mbegu.niliLipia miche 1800 kwa kila ekari moja then alileta pungufu pili mbolea hakuweka kiufasaha.lastly kuiva kwa nanasi kidogokidogo ni ngumu ku control usiibiwe na msimamiz
Kuhusu mihemko taarifa niliibeba juujuu bila kufanya research.bei za kuuza ni uongo,uhakika wa wateja uongo.muda wa miez 18 uongo.
Wateja wanafika shamban na bei zao.nanas chamba ni 300/500 kubwa.hapo kukata sh.50 na kupakia sh 50 hivyo unabaki na 200/400.
Likiiva ndege wanakula mnoo (hasara)
Pia uwezekano wa kuwapa wauzaji kwa mkopo wakauze kwa bei zao wakuletee chako mlichokubaliana.
Unaweza kulima ukidhan ni only 18month kumbe zikakaa upto 3yrs na kila kitu unafanya.
Ni zao fulan hivi ambalo linalimwa kimazoea na si kibiashara.
Kwa wataka akupiga hela za chapchap msilime mtalia kama
1-usimamizi
2-matumizi ya muda
3-huduma
Hapo lazima ufeli kama unashamba au hata biashara unatumia simu utafeli
Kama unamsimamizi siyo muaminifu utaangukia pua tu....
Pole ila nakushauri ishi katika ndoto yako na fanya kile unachoweza yani natamani ningekupa ushauri ila