MANAKE MKARI
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 281
- 211
Naomben ushauri wapi nitapata mbegu ya nanasi na nijisi gani nanasi inalimwa .udongo unatakuwa uweje,hali yahewa na mengine yate yanayohusu kilimo cha nanasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbegu unapata kwa wakulima. jaribu Kiwangwa kama upo Dar/Pwani. Si kila udongo unakubali nanasi. Unaotesha muda wowote maana haikauki. Mwanzo ni ilikuwa zinalimwa Kiwangwa kwa wingi ili sasa hivi zinalimwa maeneo mengine ikiwa ni pamoja na Mkuranga, Tanga, n.k na hii imepelekea soko kuyumba kwa miaka ya karibuni.
Nanasi linahitaji mtaji maana ya acre moja gharama ya mbegu tu inaweza kufikia milioni moja. Huwa halitaki kitu kinaitwa majani kwa hiyo palizi ni muhimu sana. Pia linahitaji mbolea. Unavuna baada ya miezi 18.