Kilimo Biashara na kampuni ya Namaingo Business Agency

Hahahaha, kijana anapaswa kuchutama tuu, hiyo maada peleka fb
 
Kuna wadau humu 2016 waliwashtukia Hehehehe

Ova
 
NASHUKURU LEO BAADA YA MUDA MREFU WATU KUIBIWA NA NAMAINGO KWA MIAKA MINGI WAMEJUA SASA KUWA NILICHOSEMA NI KWELI IMEPIGWA MARUFUKU RASMI KWA WIZI WALIOWAFANYIA AKINA MAMA
Washafanikiwa tayari kuwapiga pesa kwahiyo haina maana
 
NASHUKURU LEO BAADA YA MUDA MREFU WATU KUIBIWA NA NAMAINGO KWA MIAKA MINGI WAMEJUA SASA KUWA NILICHOSEMA NI KWELI IMEPIGWA MARUFUKU RASMI KWA WIZI WALIOWAFANYIA AKINA MAMA
Wamefungiw lin mkuuu rasm???? Yule bi ubwa janja janja nyingi sana
 
Mm Nlikuwa namfatiliaga nkamuona tu ni mzushi tu.......ila Nlijua tu atawapata wabongo maana wabongo kuvutika ni rahisi sana

Tuone mwisho wake nime mfuatila sana ofisn kwao nimefika sijawah kuwapa pesa jumamos alikua ana jaza san watu
 
Back
Top Bottom