Kilimanjaro Stars yashinda kombe la Challenge 2010

JK hakuwepo... na kama alikuwepo basi hakua mgeni rasmi bali mkuu wa mkoa wa dar, ambaye pia ni waziri na pia ni mbunge na mjumbe wa bodi kama laki saba hivi

LOL
labda ufanisi wake ni wa hali ya juu sana
 
Duh! miaka 16 bila ya Challenge Cup! Hongereni sana Stars.
 
HONGERA KILIMANJARO STARS, HONGERA TANZANIA (kwa wapenzi, HONGERA TANGANYIKA). Hatimaye kombe linabaki TANZANIA (bara). HONGERENI
 
Ivory Coast walikuwa ni waalikwa so ata kama wangeshinda wangepewa replica na sio kombe rasmi
Tanganyika huleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Congrats Kilimanjaro Stars. Congrats dear Tanzanians. Sorry and shame on Gbagbo.
 
QUOTE=Mtego wa Noti;JK alikuwepo..nilidhani wasingeshida kwa sabab ya yeye kuwepo

Mkwere hakuwepo aisee. Maalimu Seif Shariff ndie aliemwakilisha. Angekuepo tungepigwa!
 
Waiter Lete Bia nyingine!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo ni kunywa mpaka asubuhi.
 
Fuso Fuso Fuso Fuso Fuso Fuso !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Waliongalia mechi ya stars v uganda cranes naomba munijulishe waliofunga penati za stars
 
hongereni sana Kilimanjaro Stars Z'bar Heros mpoo huwa mnajidai sana mkifika fainali bila kombe???

12_10_59696j.jpg

Wachezaji wa timu ya soka ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' wakishangilia ubingwa wa kombe wa Chalenji baada ya kuifunga Ivory Coast bao 1-0 katika mchezo wa fainali kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
 
NGO'TIMBEBEDZU said:
FIFA wanaitambua Taifa Stars si hii Kili Stars, na ndiyo inayopanda na kushuka kwenye rank.
Newvision said:
No hili kombe haliko kwenye viwango vya FIFA kwa hiyo haitasaidia sana ila mardi tu tumebeba kombe kwa raha zetu.
I am doubtful. Kwenye CAF sawa siyo FIFA
Bantugbro said:

Wakuu nadhani sasa mmeamini kuwa viwango kwenye FIFA vinapanda kama kawa, na bado mechi dhidi ya Ivory Coast haijajumlishwa hapo naona wataijumlishwa kwenye viwango vya mwezi ujao....:A S-alert1:

...However, mechi za Zanzibar Heroes hazitambuliwi na FIFA wala CAF....
 
Back
Top Bottom