Kilimanjaro Stars yashinda kombe la Challenge 2010

screen lilirusha kila kitu
IMG_9570.JPG
 
Hongereni watz. Maximo na fitna zake kwa kaseja ilikuw kikwazo kwa soka la bongo

Nakuunga mkono sana the dreamer. Maximo alichelewesha sana ushindi wa watanzania kutokana na tabia yake ya kutaka kutekeleza maslahi yake binafsi. Niliwahi andika gazetini kumtaka Maximo ajiuzulu lakini watu walinijia juu. Sikujua kwanini. Lakini leo nafurahia kuona kwamba kabla hata ya mwaka kuisha tangu Maximo aondoke, Kili star inachukua kombe.

Hii pia ni zawadi kwa Marehemu super Coach Mziray ambaye alituletea kombe hilo kwa mara ya mwisho mwaka 1994. Hatimaye limepatikana tena mwaka ambao ameaga dunia. Hongera Kili star, hongera Watanzania.
 
Hongera Tanzania
Hongera Kikwete, tunaona matunda ya kazi yako nzuri ya kuhamasisha soka la Tanzani.
Hongera Kilimanjaro Stars.
Ningekuwa mimi ningempongeza Mkapa aliyetekeleza kwa vitendo mapenzi yake kwa soka la bongo kwa kutujengea uwanja wa kisasa. Huyu JK ni msanii tu, sijaona kubwa alilolifanya kwa maendeleo ya soka la Tanzania. Alikuwa anamtetea Maximo hata pale ambapo alikuwa anavurunda waziwazi. Ni bora tu kwamba huyu kocha wa sasa analipwa na TFF, otherwise na huyu angeanza kumpangia kazi through Ridhiwani.
 
Nakuunga mkono sana the dreamer. Maximo alichelewesha sana ushindi wa watanzania kutokana na tabia yake ya kutaka kutekeleza maslahi yake binafsi. Niliwahi andika gazetini kumtaka Maximo ajiuzulu lakini watu walinijia juu. Sikujua kwanini. Lakini leo nafurahia kuona kwamba kabla hata ya mwaka kuisha tangu Maximo aondoke, Kili star inachukua kombe.

Hii pia ni zawadi kwa Marehemu super Coach Mziray ambaye alituletea kombe hilo kwa mara ya mwisho mwaka 1994. Hatimaye limepatikana tena mwaka ambao ameaga dunia. Hongera Kili star, hongera Watanzania.

ni kweli, Mximo alituchelewesha mno...
 
ila pamoja na kuwa yeye maximo alituchelewesha lakini alijitahidi kuwek msingi mzuri ingawa alishndwa kusimamia huo msingi kiasi cha kwamba ilikuwa kidogo hata huo msingi wenyewe ubomoke...
 
angekuwepo Drogba pamngechimbika, angututoa kamasi pale uwanjani mpaka tungesalimu amri....
 
Nsajigwa hoyeeeeeeeeeeeeeeee,JK ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
TZ juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zaidi...
 
JK hakuwepo... na kama alikuwepo basi hakua mgeni rasmi bali mkuu wa mkoa wa dar, ambaye pia ni waziri na pia ni mbunge na mjumbe wa bodi kama laki saba hivi

LOL
 
Back
Top Bottom