M
Wameandika hivyi
"Mrs Jackson will climb Kenya's Mount Kilimanjaro in aid of Macmillan Cancer Support. "
Kusoma hiyo article ya juzi tuu, click hapa
Nashauri hawa watu some hii page kabla hawajaandika tena siku ingine
Why Kilimanjaro is in Tanzania
.
..i hope umewapiga email about this one,with that link in it!
Number ya simu niliyotumia ni ile ya Tanzania High Commission: 442075691470 for obvious reasons.Whilst in support of Mrs. Jackson's effort to make her dream come true by climbing Mount Kilimanjaro in support of Mcmillan Cancer Support, I'm however pushed to say, her efforts to do so could prove futile if the travel arrangements are not checked. Since MOUNT KILIMANJARO IS IN TANZANIA AND NOT IN KENYA as your article above seems to suggest.
SteveD.
WAITROSE manager Sarah Jackson is off on her travels next year in memory of her mother Jayne who died after a 10-year battle with cancer in 2005.
Mrs Jackson will climb Kenya's Mount Kilimanjaro in aid of Macmillan Cancer Support.
She is hoping to hit her fund-raising target of £2,000 in time for the big climb on January 24.
If you would like to sponsor Mrs Jackson, go to www.justgiving.com/sarahjackson1.
Sarah Jackson prepares for her mountain climb.Photo: HELEN DRAKE.
Huyu angezuiwa kwenda kupanda mlima ndio ingekuwa funzo kwa wengine na tungejitangaza vizuri lakini hatuna Idara ya uhamiaji ambayo inaweza ku-act swiftly katika mambo kama haya.
Akinyimwa VISA kwenda Kilimanjaro ndio itakuwa dawa kubwa.
Steve D,
Yaani nimeangalia link hizo mbili, mpaka nimeona kuzunguzungu.
sijui hawa watu wa Utalii wanayaona haya yote???................MKJJ vipi kuhus kumhoji Prof. Maghembe na sekta nzima ya maliasili na Utalii
Dua,
Nakubaliana nawe kinamna, lakini aproach sidhani kama italeta manufaa makubwa. Kwani akifanikiwa kufika huko kwa njia yoyote ile, nina imani ataelewa kuwa Kilimanjaro iko Tanzania na siyo Kenya, pia hata vijisenti viwili vitatu atakavyo tumia akiwa kwenye vitongoji vya maeneo ya mlima vitasaidia waliopo maeneo hayo.
Muhimu, ni sisi, taasisi zetu na viongozi wetu ndiyo tumezidi kulala. Habari kama hizi na elimu kuhusu Kilimanjaro ingetakiwa dunia nzima inafahamu kwa sasa. Kwani 'ignorance' kama anavyo iongelea Mwl. Moshi ipo duniani pote. Hivyo basi kuelimisha dunia kuhusu kilicho chetu ni jukumu letu Watanzania na tufanye hilo kwa nguvu zote... NA SIYO SERA ZA: ARI MPYA NA KASI MPYA KUTEMBELEA NCHI ZA WATU TU!!.
Ogah, Good effort, ubarikiwe kwa jina la nchi yako ndugu yangu. Ahsante.
SteveD.
Nitakupa mfano moja rahisi sana. Yule mwalimu aliyefukuzwa Sudan alikuwa top of the story kwenye BBC, SKY na vyombo vyote vya magharibi kwa muda wa siku kama nne au zaidi every hour.
Kweli sio makosa yake kutokupata VISA lakini tutakuwa tumefanikiwa kwani kelele watakayopiga itakuwa imetutangaza tayari na balozi ata-appear kwenye channel zote za UK na kuwaambia ni makosa ya kiufundi jamaa walikuwa wameteleza kidogo lakini katika muda wa siku tatu dunia yote wataelewa Mt. Kilimanjaro iko Bongo. Hivi ndivyo tinatakiwa tufanye, I hope wanapamga mkakati mzito kama huu.
Kinachofanyika hapa ni:
Travellers agency za Kenya zinatoza fedha kwaajiri ya Viza ya Tanzania moja kwa moja wakati wa kushughulikia safari nzima.
Tatizo ni kwamba wanatoza watalii bila kuwaambia kwamba malipo ni ya Viza ya Tanzania, Tanzania kwao wakenya ni sawa na mkoa uliojaa vilaza wa mawazo.
Fedha watoayo watalii kulipia viza hatimaye inaishia Tanzania lakini kwa gharama ya kudumisha usemi na uwezo wa Kenya kutangaza kwamba mlima Kilimanjaro uko Kenya.
Watanzania tuko Buze kushughulikia mambo yanayoishia viunoni kuliko ustawi wa nchi maendeleo na jamii nzima.
Tunaamini kwamba mambo yatajipiga fimbo yenyewe na kuchanganya mbele ya safari.
Sisi Watanzania tuna njaa kubwa sana na ya kimasikini, twaweza pigana makonde mazito hadi kuuana kwaajili ya sima ya ugali huku tukiachia Wageni toka Ughaibuni wakilamba kila kitu katika Ghala letu la chakula, na pengine wakisha lamba kuwaruhusu wajisaidie haja kubwa humo kwa malipo ya rushwa.
Sijui ni after effect za siasa ya ujamaa au bado tu kama Tembo aliyelala!!!
Tatizo la ujinga huu si tu kwamba ni kubwa miongoni mwa Viongozi wa chama na serikali hasa wale wa Old School;bali pia ni kubwa hata kwetu sisi vijana, kuna vijana wenzetu lundo ambao wana tabia chafu ya kutoona kesho kuliko viajuza na vishaibu wa serikali na chama.
Kijana uachapo kujifunza na kupanua elimu yako na uelewa,haki ya kulaumu wengine inakuponyoka.
Sijui Matongotongo na ujinga huu vitatutoka lini!!!
Mzee hapa naona unateleza kidogo, VISA inatolewa na ubalozi wa Tanzania na kwa huyu mama ni ubalozi wetu UK. Travel Agency wanaweza kumwombea kwa niaba yake lakini hawawezi kutoa hadi waende kwenye balozi wetu.
Dua,
Visa inatolewa mpakani wanapovuka kutokea Kenya kuingia TZ, kwahiyo anachosema Madilu kinawezekana.
Huko nyuma niliambiwa Watalii walikuwa wanaingia Tanzania kwenda kupanda mlima Kilimanjaro bila hata ya wao kujua kwamba wameshatoka nje ya Kenya.
Pia kama sikosei ukiwa na visa ya kuingia Kenya, huhitaji tena visa ya TZ na hivyo hivyo ukiwa na visa ya kuingia TZ, huhitaji visa ya Kenya.
Kuna ujanja Wakenya walikuwa wanatumia kuficha ukweli kwamba mlima Kilimanjaro uko TZ.